Dream League Soccer Special Thread

Ningependa nanyi muwe na vikosi bora ili walau nipate upinzani humu maana kuna huyu jamaa adriz ni ngoma haswaa, ana kikosi kizuri lakini hana kitu
 
Oooh Ahsante sana Mkuu ngoja nijitahidi Sasa maana ndio kwanza nipo 55,000
 
Una lipi la kuwaambia wanadream,
Mech saba umepigika game 6[emoji23][emoji23]

Tazama baadhi ya takwimu ili ujue hukubahatishwa,

U were dominated by all the ways
 
Sasa naenda kumsaka Singasinga popote alipo, natak ndani ya jf ifahamike mim ndie king wa dream league soccer
 
Master nauliza nani mwingine anahitaji kichapo na kudai ufalme humu ? Kiande Fene nimeshamshona mdomo.
Ila nilicheka zaid ile game ya mwisho baada ya kukuvunja goli la 4 hukusubir filimbi ya muamuzi ukala nduki[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ninakuapia baada ya kipondo cha jana utapumzika kucheza dream ndani ya mwez 1

Maana maumivu yake hata mimi nimeya feel Kaka[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16]Labda mtafute mwingine wa kunivua ufalme hapa ila sio wewe wala mnyonge wangu wa kudumu adriz
 
DLS 23 inaruhusu kuedit name mbona sioni hiyo option ?

Huyo jamaa wako pozi lake linachekesha sana.
Watu wa Photoshop wamefanya yao, sio yeye

hakuna option hiyo mule Mr Kiande[emoji16][emoji16]
 
Pitia uzi wote utakuta kwenye baadhi ya pages Master nimetoa full muongozo na mbinu za kupata coins haraka na management yake, vilevile wengine pia wametelekeza humu.

Superfly
 
Una lipi la kuwaambia wanadream,
Mech saba umepigika game 6[emoji23][emoji23]

Tazama baadhi ya takwimu ili ujue hukubahatishwa,

U were dominated by all the waysView attachment 2602067
Wewe nilikupiga mechi 13 plus mfululizo halafu siringi,huo upepo wa siku moja nifunge siku mbili mfululizo hapo nikuone mwamba.
 
Ninakuapia baada ya kipondo cha jana utapumzika kucheza dream ndani ya mwez 1

Maana maumivu yake hata mimi nimeya feel Kaka[emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna cha kunitisha Master kama Master Jpili kaa mkao wa kufungwa na ukinifunga siku hiyo rasmi nitakuita Master.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…