Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
- Thread starter
- #61
Ww kumbe umeliona hilo na wanaolitaka pes ni wasiowahi kucheza dream leaguePes la kwenye simu halina udambwi kama la kwenye Ps
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww kumbe umeliona hilo na wanaolitaka pes ni wasiowahi kucheza dream leaguePes la kwenye simu halina udambwi kama la kwenye Ps
Mkuu ingia you tube kule utapata kilakitu kwa undani Zaid na hua wanagundisha namma ya kuinstall na mpaka icheze...Napakuwa ila linagoma kuingia, pale kwenye stage ya kufungua fungua yale ma OBB ndio inakwama.
Kabisa na halienndani na mazingira ya cm, DLS special kwa cm tuKwenye cmu naona wana~force tuh Ila hamna kitu hahah
Pesi no kwenye play station yenyewe na cio kwa ajili ya cmu yaani halina ladha kabisa Zaid ya kueka ugumu tuh..hhahaKabisa na halienndani na mazingira ya cm, DLS special kwa cm tu
game lenyewe 2b bado uanze ku download mavitu mengne meng meng 😂😂 alafu ni karbia kila muda wana kwambia u update hayo madude.Kwenye cmu naona wana~force tuh Ila hamna kitu hahah
Shida ya nn wew njoo DLS. Download OBB na APK(File DATA) ukishafanya hivyo nenda download file ya simu yako. Mara nyingi obb inakuwa zipped hivyo unzip. Uki unzipp 1. Oppen App yake utaona picha yenye mtu na maneno FTS. Install na usifungue kubalia tu done. Rudi kwenye file la download lako kakopi au cut obb file, copy kuanzia hapo kwenye cm.fts.adroi. ili kule kwenye kupaste ije na jina lake. Ukifanya hivyo nenda android alaf obb na upaste ndani ya obb.Napakuwa ila linagoma kuingia, pale kwenye stage ya kufungua fungua yale ma OBB ndio inakwama.
Umemaliza vizuri ila DLS ugumu na wepesi wake inateggemeana na graphics umewekaje. Kabadili badili graphics ili upate unachotaka, NB low quality of graphics hard wining of game hii inatokana na low quality poor performance kwa timu yako. Ili uone game ngumu na unfair weka 30 FRP na Quality weka Low(auto) alafu uje urudishe mrejeshogame lenyewe 2b bado uanze ku download mavitu mengne meng meng 😂😂 alafu ni karbia kila muda wana kwambia u update hayo madude.
bora ni baki dls japo kuwa nalo ni jepesi lakn bora lenyewe halina mambo mengi.
Me napenda kwenye Dls wangeongeza baadhi ya vitu kama
1.idadi ya timu kwenye ligi kutoka 16 mpk 20
2.pia kuwe na mzunguko wa pili wa mechi siyo mmoja.
3.pia waweke team za ujeruman
4.Wafanye liwe lina ku challenge cyo me ndo nalipa challenge.
Me ckuiz nimeamua kucheza na kikos chenye overall kuanzia 50 ili tu nipate kuangaika kushinda ligi.
Ila sema nn hili 2022 lina kaugumu kake hutoboi kama huna top player 😂😂
Em ngoja nijarbu, maana sahv nimeamua kumsajili Messi na immobile hapo mbele immobile ni fireUmemaliza vizuri ila DLS ugumu na wepesi wake inateggemeana na graphics umewekaje. Kabadili badili graphics ili upate unachotaka, NB low quality of graphics hard wining of game hii inatokana na low quality poor performance kwa timu yako. Ili uone game ngumu na unfair weka 30 FRP na Quality weka Low(auto) alafu uje urudishe mrejesho
Immobile kwangu yupo ila anasugua benchi kwani Firimino yupo pale kwa fiwadi ya mguu wa kulia, ila saizi namtaka Salah kwani update ijayo atukuwa bora sana na mchezaji ghali zaidi.Em ngoja nijarbu, maana sahv nimeamua kumsajili Messi na immobile hapo mbele immobile ni fire
winga nina sissoko ni mzuri kwenye mipira ya vichwa
Messi akishika mpira siyo rahis mpinzan aupate.
Sasa simu ya ram 2 unataka ucheze PES 😂😂😂😂😂Hata kimbia ya PES ni kama roboti fulani hivi ananesanesa na hawachangamki kama dream league. Hili game kama live tu hasa kamera ukiweka 70 80 90 na 100 unaona pande zote. Kikubwa zaidi DLS halisumbui mtandao mda wa kucheza na ndio maana hame ikiingia tu uwanjani unazima data na unacheza hadi mwisho game ikiisha unawasha na unaendelea. Hii inasaidia hata simu kuwa nyepesi wakati wote kwa sababu simu hafanyi kazi nyingine ya internet. Mambo ya connection failed,network error,no connection huku hayapo .kwa hiyo tunaposema dream league ni zaidi ya game tunamaana yetu.
Kwangu iligoma, nahisi kuna kitu kishajisave labda nikipata simu nyingine.Mkuu ingia you tube kule utapata kilakitu kwa undani Zaid na hua wanagundisha namma ya kuinstall na mpaka icheze...
DLS sichezi, sichezi, sichezi (kwa sauti ya mzee mpili) [emoji23]Shida ya nn wew njoo DLS. Download OBB na APK(File DATA) ukishafanya hivyo nenda download file ya simu yako. Mara nyingi obb inakuwa zipped hivyo unzip. Uki unzipp 1. Oppen App yake utaona picha yenye mtu na maneno FTS. Install na usifungue kubalia tu done. Rudi kwenye file la download lako kakopi au cut obb file, copy kuanzia hapo kwenye cm.fts.adroi. ili kule kwenye kupaste ije na jina lake. Ukifanya hivyo nenda android alaf obb na upaste ndani ya obb.
Ukimaliza rudi tena kwenye download file lako, na ukopy data file kuanzia com.firstt....app.. na uennde ukapesti kwa kuingia android then data na upesti ndani ya data file.
Toka na ukafungue game yako, enjoy na ukifungua usisahau buku tu kunishukuru
Kwa hiyo niivunje hii simu yangu ?Sasa simu ya ram 2 unataka ucheze PES 😂😂😂😂😂
DLS sichezi, sichezi, sichezi (kwa sauti ya mzee mpili) [emoji23]
Acha utani ww kwan ww unacheza nn?[emoji23]
Hata mimi nili install kama mara mbili likawa linagoma kuplay nikafuta nilikasirika maana nilitumia zaidi ya Mb kama 400 ikaja kukubali mdau wangu aliponirushia mafaili kupitia xender , na akaniambia ukitaka licheze kwa mara ya kwanza baada ya kudownload usizime data mpk mkifika uwanjani baada ya hapo unapeta freeNapakuwa ila linagoma kuingia, pale kwenye stage ya kufungua fungua yale ma OBB ndio inakwama.
Sasa nimeelewa hua kila nikimaliza Ligi huwa wananiambia niongeze uwanja ila mimi nilikua sijui maana yakeFUATA PICHA HIZI NAMNA YA KUNUNUA UWANJA. Usisahau tu kuwa na coin za kuwezesha kununua uwanjaView attachment 2099899View attachment 2099901View attachment 2099902View attachment 2099903View attachment 2099905
Mm nikitaka wachezaji wenye majina makubwa wanataka nilipie pesa wananiletea menu ya tigo pesaUsisahau kumchukua Ngoro Kante na Mousa Sisoko ni hatari xn hawa kwa kwenye DLS