ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Hii timu nisha ipiga sitaKikosi Cha mauajiView attachment 2107617
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii timu nisha ipiga sitaKikosi Cha mauajiView attachment 2107617
Bila shaka siyo Dream ya 2022Mmeona coins hizo? View attachment 2107594
Gervinho,Insigne,Mane na Chiellini nilipata mshiko lzma niwasajiliKikosi Cha mauajiView attachment 2107617
Huniez weweHii timu nisha ipiga sita
Coin za kuhaki hizo ndio maana zipo exactlyUna muda gani toka uanze kucheza?
Nafasi ipo mzee sema tu limeamua kunilia kibuti tu
Hili game la kihack hata halina mvuto.. Raha ya coins uzisotee dah ni raha sanaMmeona coins hizo? View attachment 2107594
Kama nn?
Nani yupo online tukiwashe ?
Kwa FTS na dream league tofauti?Hapa ni mahala salama kwa mpenzi wa Dream League Soccer(DLS). Game hili limetengenezwa na Kampuni ya FIRST TOUCH SOCCER(FTS). Game la DLS ni game bora zaidi kwa sasa duniani kwa upande wa soccer.
SIFA PEKEE YA DLS.
1. Linachukua nafasi ndogo kwenye simu.
Pamoja na ubora wake wa graphics bado game hii ina 500MB na ni tofauti na magame mengine yanaanza na 2GB mfano PES.
2. Uhalisia wa wachezani wa timu wanazochezea
Kitu pekee kinachotofautisha game hii na magame mengine ni uwezo wa ku update wachezaji kadri timu mpya zilivyo. Mfano Mess kwenye game hii anachezea PSG na magame mengine bado Mess anachezea Barcelona. Mfano FIFA hadi leo Xavi,Iniesta bado wanakipiga soka. Huko kwingine hata ukimtaka Gaucho au Drogba au Maradona au Arteta au Guardiola utawapata na bado wanacheza mpira. Ili kujua sajiri za ulaya na kwingineko karibu DLS utawajua wachezaji wote current.
3. Wepesi wa kucheza .
Game hii haihitaji rocket science ili uweze kucheza kwani vya kuchezea viko 3 tu 1. B kwa ajili ya pass fupi 2. C kwa ajiri ya kuchop,kubadili wa kumchezesha na pass ya juu. 3. A kwa ajili ya shuti na pass ndefu. Vitufe vyote hivi unakadilia kwa kubovya tu ni simple sana kama kuvaa nguo tu.
4. Wachezaji hawatabiriki uwanjani
DLS huwezi kucheza kwa namna moja mfano, uje angle au sehemu fulani ukishuti ni goli au chenga fulani tu. Hili game sio la kukariri kama Real football lenyewe mchezaji akivuka tu mstari wa kati, apige hatua tatu alafu jaza shuti basi ni goli. Hili game ni real kweli yaani kunakipindi hadi unaacha kula.
5. Uwezo wa kucheza kwa kupanda daraja kwa kikosi chako
Huko kwingine unaambiwa chagua timu, na kisha uichezeshe. Huku mambo ni tofauti Kwanza utapewa squad yako na itabidi uipandishe daraja toka Academy, daraja la 4,3,2,1,dalaja la Junior kisha ligi kuu(Legendary). Kuna kupanda na kushuka katika ligi hili kwa hiyo sio ni burudani bulibuli. Pia kuna ligi zingine hapo kati yaani mfano tu wa shirikisho na uefa.
NB: kikosi bora ndicho kinachoshinda. Game ni ya online(kwa ligi zote) na offline kwa friendly match.
View attachment 2099718View attachment 2099719View attachment 2099720View attachment 2099721View attachment 2099722
KARIBU KWA KUPEANA MAUJANJA NA STORI ZA GAME HILI.
Best player kwa game hili ni Ngoro Kante na Mousa Sisoko. Hawa ni wachezaji wenye uwezo mkubwa sana katikati kwa maana wanakaba na kushambulia vizuri.
VITU VYA KUZINGATIA WAKATI WA KUNUNUA MCHEZAJI.
1. Acceleration.
Kabla ya kumsajili mchezaji yeyote kwanza angalia acce yake ili awe na maamuzi ya haraka. Wengi sana wanaangalia speed tu ya mchezaji bila kuona acc yake. Hata ukimchukua mchezaji mwenye speed 100 ila kama acceleration yake ni 27 ni kazi bure kwani atachelewa kuanza kukimbia na ataporwa mpira mda wote.
2. Stamina. Baada ya kuona acceleration basi angalia stamina yake. Hapa panamwezesha mchezaji kukaba kwa nguvu lakini pia hanyang'anywi mpira kirahisi. Viungo na back wawe na stamina kubwa sana isiwe chini ya 75.
3. Speed. Kitu cha tatu ni pendwa kwa wachezaji wengi wa magame yani kukuimbia kwa kasi hasa kwa fowadi na back za pembeni. DLS wanashambulia sana winga hivyo hakikisha back zako namba 2 na 3 wanakuwa na speed kubwa na acceleration kubwa.
NB: usimruhusu adui apige kross ni hatari sana, kabla adui hajapiga kross press A ila uwe kwa pembeni yake na umsogee sana ili apige takoling. Takoling ya mbele ni kwa mbali kiasi ili mpira uwahi kuugusa ili kuepusha umeme.
4. Head.
Kwa beki za kati head nzuri sana kwani mipira ya kona na kross itasaidia sana kuokoa. Uwezo wa kupiga kichwa ni kwa beki na viungo.
5. Shoot na pass.
Kwa fowadi pia lazima uangalie uwezo wao wa kushuti ili hata nje ya 18 uwe unashuti na unafunga. Poor shoot inapelekea kupaisha au shuti kuwa chakula kwa golikipa.
NB. Formation au mfumo mzuri ni 4 4 2 na weka defensive kama unajifunza, moderate kama mchezaji wa kawaida na Attacking kama mzoefu kama mm.
Pia ukifungwa au kufunga unaweza kubadili ili kuendana na mchezo
Tuma PasswordNani yupo online tukiwashe ?
Utofauti ni umri tu. Kwa sasa hawana game iitwayo FTS bali wana DLSKwa FTS na dream league tofauti?
Utaweza? Hicho ni kikosi cha pili bado cha kwanza.View attachment 2108201beki yenyewe Cacelo huyu,mbona magoli mengi sana
Wiki mojaUna muda gani toka uanze kucheza?
YeesBila shaka siyo Dream ya 2022
Bila kuwa na coins za kutosha huwezi jenga kiwanja mzee.Hili game la kihack hata halina mvuto.. Raha ya coins uzisotee dah ni raha sana
Hapo huoni raha ya game ukihack ile umeanza tu unanunua mastaa wote toka academy stage sasa hapo kuna ushindani tena? Uwanja inatakiwa ujenge kwa jasho na damu sio kitonga hivoBila kuwa na coins za kutosha huwezi jenga kiwanja mzee.
OkHapo huoni raha ya game ukihack ile umeanza tu unanunua mastaa wote toka academy stage sasa hapo kuna ushindani tena? Uwanja inatakiwa ujenge kwa jasho na damu sio kitonga hivo