Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Jinsi ya kuitumia hiyo code sasa
20220718_075107.jpg
20220718_075126.jpg
20220718_075145.jpg

Code mnaingiza muda mmoja mfano ww unaingiza code J2012 na mm nitaingiza hiyo hiyo J2012 kama ilivyo.
 
Haupo umekimbia mziki nini ?

Hahahahaaaa..!! Siwezi kimbia hata sijaona kiwango chako mkuu. Nliingia dls nikitegemea zitakuja notifications ukini quote nimekuja ona baada ya ku refresh page. Samahani kama unaweza rudi tena
 
[mention]adriz [/mention] nahisi utakuwa umetoka. Mda mwingine tena maana now naambiwa failed to find opponent
 
Back
Top Bottom