Unaingia sokoni mchawi mpunga wa kutosha na ili upate inatakiwa uongeze ukubwa wa uwanja zikija options za kuwatch video unwatch ili coins ziongekeze.
Kwenye usajili DLS 22 unaingia sehemu ya transfer utaona wachezaji wapo sokoni ila mara nyingi wanakuja vibonde labda kidogo uwe ligi za juu ndio unawekewa mchezaji mzuri kwenye transfer list ya wachezaji.Sasa mbinu nzuri ya kumpata mchezaji wa kiwango tumia scout
View attachment 2291074
Kisha chagua skauti wa mwishoni ambaye dau lake ni coin 500 na mchezaji anyemleta ni kuanzia coin 1500 -2000 sasa ukitaka kupata mchezaji wa uhakika Ingia sokoni na hela kuanzia 2000Coin
View attachment 2291082
Nb :Njia nyingine kila baada ya mechi pitia sokoni unaweza kuta mchezaji mzuri wamemuweka hivyo unamdaka chap bila kumpa hela skauti .