Nkulu wa nchito
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,112
- 1,429
Nikutafute saa ngpWewe kibonde kabisa humu kuna viande mpk naona kiwango changu kinaharibika coz sipewi ushindani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikutafute saa ngpWewe kibonde kabisa humu kuna viande mpk naona kiwango changu kinaharibika coz sipewi ushindani.
Hata sasaNikutafute saa ngp
Wapo vizuri sana, event upo Tie gani?Wamenisaidia sana wakati mwingine kwenye events nakutana na timu kubwa kabisa ila spidi zao napiga kaunta moja nashinda gemu.
Nakuomba uishie tu kuwa shabiki yangu
SawaSaa nne vp
Sio event ni live league nipo Tier 13 wewe upo ngapi ?Wapo vizuri sana, event upo Tie gani?
Nipo tayari kutoa doziSawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakutamani ww unaonea vibondeMwenzako alikuwa anaongea sana ila sasa anaomba poo. Na ww acha kuongea ili yasikukute yanayomkuta adriz mda huu maana amekuwa ni mtu wa kuonewa huruma
Nkulu wa nchito nakuona daily unanikimbia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakutamani ww unaonea vibonde
[emoji23][emoji23][emoji23]ahaaaa wp leo nikuhakikishie sikukimbii
Ukiwa na mda kuanzia saa 4 usiku njoo nikuwashie motoNakutamani sana ww
Kama utakuwa na mda, mida ya saa 4 night njoo nikuoneshe shughuli[emoji23][emoji23][emoji23]ahaaaa wp leo nikuhakikishie sikukimbii
Sawa haina shida kwa kua umelilia we mwenyewe mi nikukaribisha nitakuhudumia vizuri tu halafu cku hz nafunga kuanzia 3 [emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini si unavikumbuka vile vipigo vyangu?Sawa haina shida kwa kua umelilia we mwenyewe mi nikukaribisha nitakuhudumia vizuri tu halafu cku hz nafunga kuanzia 3 [emoji23][emoji23][emoji23]
@adriz bahati zishakuwa zinakukataa sasa, naona nimebaki mim tu kujibutulia[emoji23][emoji23]Kwenye mchezo huu bado mm ndie mbabe hadi mda huu naendeleza kuwachapa taratibu.
Haya nimatokeo yangu dhidi ya adriz
Sio bahati ni uwezo huyo jamaa kabahatisha mechi mmoja tu sasa jichanganyeni mchezee mvua za magoli nawapa tahadhari mapema kabla ya hatari.@adriz bahati zishakuwa zinakukataa sasa, naona nimebaki mim tu kujibutulia[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm hapa mbona nimesemaKuna yeyote humu nitoe dozi ?