Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Mafia soccer power is the biggest and best club in jamiiforums ogopa matapeli
Screenshot_20221228-125141_2.jpg
 
Kama unazungumzia hiyo rekodi ya 5 ni Stone age basi tuangalie game ya mwisho kucheza na wew tumetokaje[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli wewe Mr Kiande mechi za mwisho jana tumecheza mechi mbili wewe umeshinda Moja na mimi Moja vilevile kama point kila mtu ana 3 sasa hilo ni la kufurahia ? halafu isitoshe ndio ushindi wako wa kwanza kwangu tokea mwaka huu uanze katika michezo 9 ?
 
Mafia soccer power is the biggest and best club in jamiiforums ogopa matapeliView attachment 2470621
Hili swali kwa nini unalikimbia hulioni ?

1.Mwaka huu umecheza michezo mingapi na mimi na umeshinda mingapi ?

2.Kipi kipigo kikubwa zaidi huu kuwahi kukipata ?

3.Kipi kipigo kikubwa cha kwa sifuri (kapa) kutokea baina yetu na nani aliyefungwa ?

4.Ukijibu hayo maswali u kuona bado unahadhi ya kuwa team bora ya Jf?

Unachekesha sana wewe ni best comedian wa huu uzi.
 
Kweli wewe Mr Kiande mechi za mwisho jana tumecheza mechi mbili wewe umeshinda Moja na mimi Moja vilevile kama point kila mtu ana 3 sasa hilo ni la kufurahia ? halafu isitoshe ndio ushindi wako wa kwanza kwangu tokea mwaka huu uanze katika michezo 9 ?
We jamaa ule utatu mchungu kule mbele nimeshakurudishia we subir maumivu tu

Inaitwa 3-4-3 hiyo ndio sumu yako, we jipange nimeshakutolea siri za kambi kabisa
 
Hili swali kwa nini unalikimbia hulioni ?

1.Mwaka huu umecheza michezo mingapi na mimi na umeshinda mingapi ?

2.Kipi kipigo kikubwa zaidi huu kuwahi kukipata ?

3.Kipi kipigo kikubwa cha kwa sifuri (kapa) kutokea baina yetu na nani aliyefungwa ?

4.Ukijibu hayo maswali u kuona bado unahadhi ya kuwa team bora ya Jf?

Unachekesha sana wewe ni best comedian wa huu uzi.
Inashangaza kuongea kauli za shombo ilhali mwaka jana ulianza kwa kishindo what happened lastly?
Oky kuhusu mwaka huu what happened in our last match

Nimeshaswitch code usichofahamu
 
Inashangaza kuongea kauli za shombo ilhali mwaka jana ulianza kwa kishindo what happened lastly?
Oky kuhusu mwaka huu what happened in our last match

Nimeshaswitch code usichofahamu
Haya umeswitch code waambie mashabiki umekula ngapi leo 😂😂😂😂 beki watatu ndio kiboko yangu haya unalolote la kusema ?
 
adriz
Fene
Nyie wote ni mamaster mimi nataka niwachallenge mamaster
Matokeo ya leo mechi tatu Fene nimempiga zote alichofanikiwa leo ni kupunguza idadi ya magoli so mpk sasa tokea mwaka huu uanze mechi mechi zaidi ya 11 umeshinda Moja tu na sare Moja vipigo ndivyo vilivyobaki.

Hiyo chini ni adhabu kauli yako ya kiswitch code

Screenshot_20230106_233320.jpg

Hiyo chini ni adhabu ya kujiita Master kumbe ni Master Feki tapeli 😂😂
Screenshot_20230106_231251.jpg

Hiyo ni ya usongo na onyo kali kwa yoyote atakayerudia upuuzi wa kujiita Master wkt Master Of nipo😂😂😂
Screenshot_20230106_232524.jpg
 
Huu uzi ushakuwa mchungu kwa Fene hatatokea hapa kuendeleza ngonjera zake mpaka abahatishe mechi Moja ushindi kwake kama kaokota dhahabu chini ya mpera aje kutamba.
 
Huu uzi ushakuwa mchungu kwa Fene hatatokea hapa kuendeleza ngonjera zake mpaka abahatishe mechi Moja ushindi kwake kama kaokota dhahabu chini ya mpera aje kutamba.
Unanishangaza kuyatupa maneno kiasi hiki ina maana umenisahau ama?
 
Back
Top Bottom