Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Ndio maana nikasema wewe haufai sio Master kule umenikimbia kwa kudai inatosha halafu huku unataka kucheza na mtu !!

Ngoja niifute [emoji146][emoji146] yangu iko mahali salama labda atapatikana mrithi humu baadae sio wewe muoga [emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]
Mi sijakimbia na kukuhakikishia hilo kesho tutaonana tena, ni vile ukicheza na mtu mmoja game zatakiwa ziwe na limit, mbona hata ukinifungaga nasema inatosha mbona huongeigi!?!
 
Shari la kwanza Mechi ziwe za kugawanyika ,maana ikiwa moja mtu anaweza kubahatisha kwa hiyo inatakiwa ichezwe ya pili yake..

Mimi humu nilisema mtu akinifunga mechi 3 kwa siku Moja nakubali kuarenda na kuumpa uMaster hiyo kauli ilikuwa based kwenye mechi Nne maana yake mtu ukifungwa 3 Kati ya Nne hapo ushaloose vibaya .

Jana tungeishia 4 nisingekuwa na malalamiko ila kwa vile tulienda 5 ilikuwa lazima ya 6 imalizike kam mimi sijasarenda mwenyewe.

Nb: Kabla ya mechi ili kuondoa utata inatakiwa mtu mkubaliane mnaenda ngapi kabisa.
 
Wakat siku zote huwa tunatakaga game ziwe 3 au tano ili atafutwe mshind, Jana kwa kuwa umefungwa unaleta mambo yako

Yani wew hufai hata kuwa kiongoz coz unafuata hisia zako na sio kutumia akili, huzuni[emoji24][emoji24]

Mim mbona ukinifunga sinaga hizi!!

Game zigawanyike ili iweje, patapatikana mshind hapo!?!?
 
Tuachane na nada ya kugawanyika twende na hoja hapo chini .Mimi nikufunge gemu Moja au mbili kisha nikimbie kea kigezo cha mshindi kupatikana itakuwa Sawa ?

Nimeangalia trend sikuzote hata kwenye ngumu huwezi mpiga mtu ngumi mbili au kuishia raundinya kwanza halafu kukimbia na kujitangaza ubingwa wakati mpinzani wako nado ana nguvu za kuendelea hayo yatakuwa maigizo sharti lazima ashwindwe mwenyewe kuendelea na mchezo kama mimi ninavyokupiga lol siku KO mechi Nne au tatu zote unakaa kwa kipigo heavy na kwa msisitizo msisitizo nakuuliza "Je tunaendelea ? " wewe mwenyewe unasema kwa leo inatosha labda siku nyingine sasa jana wewe umeanza kutoa nduki wakati mimi energy ninayo na nimetoka kufunga mechi ya mwisho bila kuniuliza sasa hiyo kisheria inakuja ?

Kama mtu haujampiga KO mwenyewe akashindwa kuendelea na mpambano sharti la pili lazima iangaliwe round Je mchezo una raundi ngapi mlizo kubaliana kama zikiisha hata kama wote mama nguvu na kutamani kuendelea hapo haiwezekani lazima mstop na kuhesabu nani amemzidi mwenzake kwa raundi zote hizo ? sasa jana kwa vile hatujakubaliana ilibidi lazima mimi unisarendishe kwa KO kama mimi nilivyokuwa na fanya mpk kufikia rekodi ya michezo 14 ukishinda mmoja kila siku ilikuwa wewe unasema kwa leo basi nakubali umeshinda.

Jana umekimbia kimkakati inamaana tjngecheza mechi ya mwisho ningeshinda kusingekuwa na bingwa halafu mimi nilikuwa na energy full
 
Yani tumecheza game 5 na bado unasema nimetoka nduki!! ukizingatia niliongoza kwa game 2 mfululizo mbona sikukimbia baada ya kunifunga game ya 3 kwa kuhofia unge-equalize game ya nne!!
Shameful

Ukizingatia jana ni miongoni mwa siku tulizocheza game nying kwa siku 1

Mim ndio king ukileta pingamiz tukutane tena leo usiku
 
Wanadream league kilichomkuta adriz leo huko ni aibu, game nne zote nimemvunja kama ngoma, matokeo kama mnavyoona chini hapo
Screenshot_20230116-223758_1.jpg
 
Magemu yapo mengi ila jamaa anafosi game la mpira japo hajui
Screenshot_20230116-225716_1.jpg
 
Master wa huu uzi nipo, mtu akihitaji dozi nipo
Screenshot_20230116-230406_1.jpg
 
Wewe unakimbia huu uzi hizo gemu Nne hapo mwisho , huwezi kufika rekodi yangu gemu 14 ,kumi ilikuwa ushindi 0..
 
We're present, anatafutwa alie bora kwasasa,

Umevunjwa mechi nne mfululizo, tena ni leo, bado una ujasiri wa kuzungumza about the past!!! may be labda unajifariji na historia zako

Swali
Who's better at the moment?

Nb/ ni mara ya pili nakugalagaza[emoji123][emoji123][emoji123]

Na nimekuthibitishia juz sijakimbia
 
Toa mrejesho leo sasa...
 
Master kwa vigezo vipi ?
Master kwa takwimu, kwani ukichukua game 7 za mwisho kati yangu na yako nani bingwa, au game 8 au 9 za mwisho nani yupo bora kitakwimu?

Master for reason [emoji123][emoji123][emoji123]
 
Back
Top Bottom