adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Kipimo cha kuchukua hizo mechi umetoa wapi kwa nini tusichukie tokea mwaka uanze ndio rekodi ilionyooka haina makandokando ?Master kwa takwimu, kwani ukichukua game 7 za mwisho kati yangu na yako nani bingwa, au game 8 au 9 za mwisho nani yupo bora kitakwimu?
Master for reason [emoji123][emoji123][emoji123]