Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Now mazingira kipengele

ila jifunze kwa kilichomkuta ndugu yako adriz
Kama mbabe wako Singasinga ambaye toka uzaliwe mechi kibao haujawahi kumfunga mimi ninamudu kumfunga vizuri bado hauniheshimu kwa kukupa hadhi ya kumfunga mbabe wako ?

Kitaalamu mimi ndio mtetezi wa huu uzi ndio maana najiita Master kwa maana siruhusu hata mgeni atawale hata awe mbabe vipi atapigwa kuliko wewe unacha mtu achukuke ujiko .

Cheki hii dharau Singasinga amekufanyia statistics kwako sifuri na kipondo juu ndio maana nakusaidia kumkanda mbabe wako bado hauniheshimu why ?

IMG_20230619_104954.jpg

DR SANTOS
 
View attachment 2662081

DR SANTOS
Yani ikiwa una screenshot ya mim kufungwa unakosaje screenshot ya wew kumfunga Singasinga?!!?

Nb
Hiyo screenshot sikufungwa na Singasinga na kwasasa hana uwezo wa kunifunga tena
 
Weka screenshot uliyomfunga singasinga nanunua .

Hata ikiwa hiyo screenshot uliofungwa sio singasinga bado aibu ya zero kwenye statistics unaikwepaje ?
 
Yani ikiwa una screenshot ya mim kufungwa unakosaje screenshot ya wew kumfunga Singasinga?!!?

Nb
Hiyo screenshot sikufungwa na Singasinga na kwasasa hana uwezo wa kunifunga tena
Jamaa nilicheza nae mbili moja nimefunga moja kashinda sikuweza kuchukua ila akija hawezi kubisha kuwa alifungiwa ndio mama nikamtag kwa kujiamini.

Nikitoka humu mtaonewa sana na wageni maana hakuna mgeni mbabe lazima nimnyooshe mimi kweli Master fulani likubwa hivi
 
[emoji16]Yani ushindi wa matuta tena kwa kuokolewa na uchovu wa usingizi ndo unakuja kutamba

Sasa umejikosea tukikutana naua.
 
We kweli kiande [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]

Mi natamba kukuvunja ww kwa magoli ya aibu we unatamba kumfunga Singasinga sijui

Tunakuomba ushahid huna, hapohapo unathibitisha alikuvunja 5[emoji23][emoji23]

Ssa nasema hivi mim ndio king humu ushahid ninao, wew ambae ni mbabe wa Singasinga kama unavyodai ninakunyoa kila siku kwa vipigo vya aibu
 
[emoji16]Yani ushindi wa matuta tena kwa kuokolewa na uchovu wa usingizi ndo unakuja kutamba

Sasa umejikosea tukikutana naua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji16]Yani ushindi wa matuta tena kwa kuokolewa na uchovu wa usingizi ndo unakuja kutamba

Sasa umejikosea tukikutana naua.
Mechi nzima nimekupeleka mputa mputa na kukukusa magoli ya wazi kibao .

Halafu WC 2022 bingwa alipatikana vipi ? lazima nitambe nimejufunza bila kujalish maana Fene tokea azaliwe hajawahi kutoa hata sare dhidi yako.
 
mi niliwahi kufanya janjajanja nikapata coins more than 43000000000 ni kusajili tu mda wote na wachezaj wote wakubwa ninao wengine nawaupdate to infinity
 
Back
Top Bottom