Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Mechi nzima nimekupeleka mputa mputa na kukukusa magoli ya wazi kibao .

Halafu WC 2022 bingwa alipatikana vipi ? lazima nitambe nimejufunza bila kujalish maana Fene tokea azaliwe hajawahi kutoa hata sare dhidi yako.
[emoji16]Fene shida yake anataka kupishana namimi
Afadhali yako hata wewe umeamua kubaki uwani unatuma tu mwewe.
 
[emoji16]Fene shida yake anataka kupishana namimi
Afadhali yako hata wewe umeamua kubaki uwani unatuma tu mwewe.
Beki 5 mbele watu wa spidi ni kaunta tu ,tatizo kikosi changu hakina nyota wachache players hawamatch ndio maana najilinda zaidi maana huku nikitegemea kaunta naona nikishambulia wanapokonywa mipira kirahisi nikicheza na watu wanaojua ila kwa Fene sina sababu ya kudefense kutokana na kiwango chake
 
adriz na wengineo wa hili jukwaa

Huyu mtu namuua anafufuka,nimfanyaje afe jumla[emoji21]
Screenshot_2023-06-23-23-32-27-514_com.firsttouchgames.dls7.jpg
 
Fene kwa nini unakuwa Kiande kiasi hiki ?

Hivi amewahi kukufunga kweli hata mechi moja ?
Ati unasema nin?,[emoji23][emoji23]

Nakuwa kiande!!, loh!!
Ama kwel dunia haiishiw vituko

Saw ila mi nipo kila ukihitaji dozi mi nipo

Kwasas sitamb tena kumpiga mlevi
 
Sikumbuki kwa kweli
Jana bahati imekuokoa, ktk mashut yangu 7 nimekosa magoli ya waz mengi hili mwenyew naamin unathibitisha kama utakataa ni ubishi tu

Note hii kauli "soon utakuwa mnyonge wangu kama adriz "
 
Jana bahati imekuokoa, ktk mashut yangu 7 nimekosa magoli ya waz mengi hili mwenyew naamin unathibitisha kama utakataa ni ubishi tu

Note hii kauli "soon utakuwa mnyonge wangu kama adriz "
Tupige battle moja ya mwisho iwe mechi 5 ukishinda hapo nitakubali kuwa mm ni mnyinge.
 
Tupige battle moja ya mwisho iwe mechi 5 ukishinda hapo nitakubali kuwa mm ni mnyinge.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Yani ndo unaamua kujifukia ktk shimo mazima usiwe na kauli tena

Sawa haina shida mishale nitakuchek
 
Anayejua ku hack huu mchezo anisaidie aseee.

Ninafungwa balaaa. 😢
 
Anayejua ku hack huu mchezo anisaidie aseee.

Ninafungwa balaaa. [emoji22]
hahahahahaahh
we ulizoea lile game la zamani la kuhack! hapa inabidi ujifunze vitu vingi kama vile skills, kupiga kona, penati, faulu na kupiga chenga...

pia lazima ujifunze staili ya kucheza mpira kwa mfano mimi hua napenda sana mpira wa pasi nyingi hadi mpinzani ana quite mwenyewe game... [emoji23]

Lakini kitu cha mwisho jitahidi usajili wachezaji wenye rate ya 80+....

cha mwisho kama hujanielewa zaidi nipe code ujifunze mautundu kwa vitendo
 
Back
Top Bottom