Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Mechi uliyoshinda moja goli goli la penati la mchongo na kipa kukupa mpira ndio yaliyokufanya ushinde ,mechi ya kwanza niliQuit sababu ulicheza mchezo mchafu kumvunja beki langu dk za mwanzo mapema ya pili nilipata dharura ikawa kucheza ngumu.

Wewe hamna kitu kama hauniogopi baadae tucheze haupati hata ushindi.
[emoji23][emoji23] beki gani alievunjwa James au?

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Ndio yule mbaya wako Kiboko ya maforward wa DLS ,anafanya nijiamini haiwezi amini nilikuwa jamaa ataninyanyasa lakini imekuwa tofauti nimemuweka mfukoni gemu zote mchawi distractions zilizoingilia Kati mpk kuQuit.
 
Mechi uliyoshinda moja goli goli la penati la mchongo na kipa kukupa mpira ndio yaliyokufanya ushinde ,mechi ya kwanza niliQuit sababu ulicheza mchezo mchafu kumvunja beki langu dk za mwanzo mapema ya pili nilipata dharura ikawa kucheza ngumu.

Wewe hamna kitu kama hauniogopi baadae tucheze haupati hata ushindi.
Mwanangu Mi sio Mtu wa kucheza Rafu nitake Radhii
 
Mechi uliyoshinda moja goli goli la penati la mchongo na kipa kukupa mpira ndio yaliyokufanya ushinde ,mechi ya kwanza niliQuit sababu ulicheza mchezo mchafu kumvunja beki langu dk za mwanzo mapema ya pili nilipata dharura ikawa kucheza ngumu.

Wewe hamna kitu kama hauniogopi baadae tucheze haupati hata ushindi.
Record Yang hiyo hapo na Kadi nyekund 3 tu Mashinda yote mpk ss na zote n Second Yellow Cards ss unaposema nacheza Vibaya ni kunikosea heshima
Screenshot_2023-08-13-20-21-20-26_7f24feae7b5e1c4a7a37a4a710799f37.jpg
 
Ndio yule mbaya wako Kiboko ya maforward wa DLS ,anafanya nijiamini haiwezi amini nilikuwa jamaa ataninyanyasa lakini imekuwa tofauti nimemuweka mfukoni gemu zote mchawi distractions zilizoingilia Kati mpk kuQuit.
Ongea bhs Ukweli hata Kdg we kuna unafuu gani ulioupata
 
Back
Top Bottom