Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

adriz leta code nikutwangafule
Nililifuta simu yangu iliharibika screen ikawa hairuhusu kucheza na wakati nyingine ninayoitegemea nimeshaiuza ,ila leo nimeitengeneza iko swafi nataka nitege sehemu ya Wi-Fi nidownload maana kwa Mb zangu pangu pakavu itakuwa uongo Kudowload now.
 
Wewe tu ndiye unayenisumbua ila ni swala la muda tu kukufyeka nibaki sina mpinzani humu ,nikirudisha DLS kwenye simu yangu nitakucheki tumalize ubishi tena.

Mimi na wewe ndio Magiant humu Fene ashindane na Wakipekee tumpate Kiande wa uzi.
We tu Mi nipo available na kweny huu Uzi natakiwa nipewe heshima yng Maana nafunga nyote humu.
 
Wewe tu ndiye unayenisumbua ila ni swala la muda tu kukufyeka nibaki sina mpinzani humu ,nikirudisha DLS kwenye simu yangu nitakucheki tumalize ubishi tena.

Mimi na wewe ndio Magiant humu Fene ashindane na Wakipekee tumpate Kiande wa uzi.
Siku ukidow load naomba uje nikupe twisheni Kwanza [emoji28][emoji2957]
 
Soon nitarudi kutoa vipondo kama kawaida yangu maana mimi ndio mbabe wa humu ,Fene hasahau kilichompata siku za mwishoni.
Baad ya Wiki mbili ntakutafut wew maan nmekuona Unaongea sana humu,

saiv simu yang imezngua ila jtatu nanunua mpya Napanga kikosi vzuri alf Utaniambia mwenyew Nikufunge ngapi Sawa ?
 
Baad ya Wiki mbili ntakutafut wew maan nmekuona Unaongea sana humu,

saiv simu yang imezngua ila jtatu nanunua mpya Napanga kikosi vzuri alf Utaniambia mwenyew Nikufunge ngapi Sawa ?
Mimi bado kuna hela naisikilizia ninunue simu kali niweke na DLS kabisa ,simu niliyonayo inasapoti ila sipo comfortable nayo kucheza DLS .Kwa kukadiria panapo majaaliwa niturudi mwezi ujao kutembeza dozi pale nilipoishia .
 
Wew na mwenzko adriz Nikishanunua simu mpya Jtatu inayosupport Dls 23 itabd niwatafute niwafundishe Total Football ipoje,

Nitawapigia pira hilo Yani mpa simu yako itachemka kwa Kuchanganyikiwa
Mimi ndio Master humu hata nifungwe kitambaa machoni na nipewe kikosi dhaifu kabisa sitofungwa na yeyote humu ukimtoa MrJobless na nikirudi ramsi nakuja kumaliza utawale wake halafu niombe moderators kwa heshima heading ya uzi isomeke "MASTER ADRIZ DLS SPECIAL THREAD"

Kabla ya kucheza na mimi kaanza cheza na wanafunzi wangu na viande wa humu Fene na Wakipekee ili nijue wewe ni Kiande wa levo gani kisha nikupe dozi unayostahili bila uonevu.
 
Back
Top Bottom