Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Mbona haujibu hoja nyepesi hizo [emoji23][emoji23][emoji23] unaleta janja janja kuleta ushindi batili.
Kama haitoshi tumalizie na hii
Screenshot_20230816-232413_1.jpg
 
We ndo kiande kabisa usiongee, afadhali mwenzako adriz anadai simu yake kwasasa kimeo, wewe mpaka leo unadai hujatia bando[emoji23][emoji23][emoji23]
Kijana nilikutafuta lkn utambue watu tuna Majukumu Muulize Wakipekee na Eng ibird watakuambia hata huko kwenye magrp sionekani tena nikitoa huduma ya Ball Safi lkn nakumbuka tulicheza mech 4. Km sio 5 hakuna uliyoshinda hata Moja
 
Back
Top Bottom