Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oya unaiba code zangu Mzee wa Kazi ,kunifunga unifunge mpaka code uchukue ?2025B
Safi sana.Network😡😡😡 tier 6 kutoka3
Utanifaa sana kwenye darasa la kukaba😂Mpira fulani mgumu, dls live bila counter hutoboi
Pole sana😃Network😡😡😡 tier 6 kutoka3
Niliona uvivu kuandika na wakati ninayo nyingine ya kupaste tuu na kutoa A😃😃😃Oya unaiba code zangu Mzee wa Kazi ,kunifunga unifunge mpaka code uchukue ?
Unapenda bifu Kaka 😂Safi sana.
Mimi nahisi nitashuka hadi 7 maana nishalost game nne yaani inaforfeit ila tier 7-6-5 nakua champion kwa kushinda games zoteUtanifaa sana kwenye darasa la kukaba😂
Tier one naitafuta mno
Kachukue hizo gems hakuna namnaMimi nahisi nitashuka hadi 7 maana nishalost game nne yaani inaforfeit ila tier 7-6-5 nakua champion kwa kushinda games zote
Kuna huyo mwamba anaitwa milan skrinia anagonga header kishenzi nikipiga kona asipofunga yeye basi ni van djik😃 Bora huna varane😂
Huyo jamaa Anakaba nae kama ugomviKuna huyo mwamba anaitwa milan skrinia anagonga header kishenzi nikipiga kona asipofunga yeye basi ni van djik
Ubaya Ubwela.Unapenda bifu Kaka 😂
Hii 90% km unapiga mipira miref ndyMimi nishazoe wadogo napiga 90% Camera type sidelinekm
Mimi nishazoe wadogo napiga 90% Camera type sideline
Yan unaweka defensively formation bado tactics unaweka Attacking 🤣🤣 Kuna kitu lzm ukikoseNetwork😡😡😡 tier 6 kutoka3
Nipo leta code tuchezeAny one for friend match
Tutafutane kesho AsubuhNipo leta code tucheze