Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Nahitaji msaada jinsi ya kulicheza .maana niko level 1 ila sasa nafungwa sana mpaka napata hasira ,wachezaji hawakabi kila kona goli ....nakuwa wa 6 au 13 mwishoni
Tier one unakutana na size yako halafu sahizi ukikutana na mtu ambaye wachezaji wake fitness iko maxmum hushindi. Gemu limekua gumu kweli kweli
 
Back
Top Bottom