Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Wewe ni Dume au Jikeshupa?Katawazie kunako...linasafisha haswaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni Dume au Jikeshupa?Katawazie kunako...linasafisha haswaa.
Naona linakumwagika kisawa sawa sasa..safiiiiii!Wewe ni Dume au Jikeshupa?
Acha jazba ndugu. Wenzetu huko walianzaje? Fikiria kikampuni kama MANGO kinajaza ndege kuwaleta watalii Zanzibar (direct flight from OR Tambo). Royal Air Maroc inachota huko duniani na kuwamwaga Nairobi kuna ubaya gani kuwachukua hapo? Nimeona Precision inawachukua Nairobi-KIA kisha ZNZ. Hongera JPMRuti hauamki tu na kujiamulia uende wapi.
Mwanza kuna nn cha kuvutia watalii? Tukifanya Cost Benefit Analysis (CBA) Mwanza inatupwa kule!Naunga mkono hoja... maana hizi route za Mwanza Drimulaina letu litaanza kunuka shombo la Sato. Wapiga kura wa jiwe tunawajua wenyewe....
Duh! Drimulaina [emoji2] [emoji2]Naunga mkono hoja... maana hizi route za Mwanza Drimulaina letu litaanza kunuka shombo la Sato. Wapiga kura wa jiwe tunawajua wenyewe....
Umegoma kujibu swali. Basi nimeshaelewa.Matusi na kejeli ndio kimbilio lenu. Sababu kichwani ni bure kabisa. Chuki zitawamaliza.
Hataweza ushindani wa emirate+ qatarIanze route dar dubai
Haya mambo umeambiwa na nani? Tukikuhitaji sehemu unaweza kutuonyesha aliyekuambia?Tumeambia bado haina vibali vya kimataifa, haina marubani wa uhakika wa kibongo na haina business plan. Hivyo kwa sasa inapiga route za daladala ili kuvuta vuta muda, kuokoteza okoteza abiria ndani ya nchi ili kulipia mafuta, mambo yakiwa sawa itajaribu kupiga route za mbali.
""Malonya""" Ni Nguo zilizo chini ya kiwango[Nguo kuu kuu]Dubai likabebe malonya ya kariakoo?
Kwa taarifa yako limekongoroka huko mwanza!! Wanapambana kujinusuru na aibu!!Dreamliner likianza kupaa nje ya TZ likachote Watalii Nairobi na Johannesburg kisha breki ya kwanza KILIMANJARO kisha Zanzibar. Dreamlinee iachane na route ya Mwanza isiyo na Mashiko. Huko Mwanza sijui Mbeya/Mtwara/Songea/tabora/kigoma ziende Pangaboi....
Safari zote hizo ni kwa ndege hiyo hiyo moja tu?Katibu Mkuu Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho alisema ndege hiyo yenye uwezo wa kuchukua abiria 262, itaanza kutoa huduma kwa safari za ndani katika vituo vya Dar es Salaam, Kilimanjaro na Mwanza.
Mwezi Septemba itaanza safari zake kwenda Bombay nchini India, Guangzhou nchini China na Bangkok nchini Thailand.
Dkt Chamriho alisema kwamba utaratibu umeanza ili ifanye safari za kwenda Uingereza na miji mingine duniani.
Wanapanda na mkaa kwenye dreamlaina hawa watuNaunga mkono hoja... maana hizi route za Mwanza Drimulaina letu litaanza kunuka shombo la Sato. Wapiga kura wa jiwe tunawajua wenyewe....
Mango unaijua Mkuu, kama umekaa kidogo SA hiyo kampuni ina ndege nyingi pengine kuzidi hata KQ ila business yao kubwa ni ndani ya SAAcha jazba ndugu. Wenzetu huko walianzaje? Fikiria kikampuni kama MANGO kinajaza ndege kuwaleta watalii Zanzibar (direct flight from OR Tambo). Royal Air Maroc inachota huko duniani na kuwamwaga Nairobi kuna ubaya gani kuwachukua hapo? Nimeona Precision inawachukua Nairobi-KIA kisha ZNZ. Hongera JPM