Dreamliner likachote Watalii Nairobi, Joberg 2 ZNZ&Kilimanjaro

Ruti hauamki tu na kujiamulia uende wapi.
Acha jazba ndugu. Wenzetu huko walianzaje? Fikiria kikampuni kama MANGO kinajaza ndege kuwaleta watalii Zanzibar (direct flight from OR Tambo). Royal Air Maroc inachota huko duniani na kuwamwaga Nairobi kuna ubaya gani kuwachukua hapo? Nimeona Precision inawachukua Nairobi-KIA kisha ZNZ. Hongera JPM
 
Naunga mkono hoja... maana hizi route za Mwanza Drimulaina letu litaanza kunuka shombo la Sato. Wapiga kura wa jiwe tunawajua wenyewe....
Mwanza kuna nn cha kuvutia watalii? Tukifanya Cost Benefit Analysis (CBA) Mwanza inatupwa kule!
 
KQ wamekamata Afrika hasa East & west afrika kama yao. Nasi tukiamua tunaweza
 
Tumeambia bado haina vibali vya kimataifa, haina marubani wa uhakika wa kibongo na haina business plan. Hivyo kwa sasa inapiga route za daladala ili kuvuta vuta muda, kuokoteza okoteza abiria ndani ya nchi ili kulipia mafuta, mambo yakiwa sawa itajaribu kupiga route za mbali.
 
Haya mambo umeambiwa na nani? Tukikuhitaji sehemu unaweza kutuonyesha aliyekuambia?
 
Kwa taarifa yako limekongoroka huko mwanza!! Wanapambana kujinusuru na aibu!!
 
Safari zote hizo ni kwa ndege hiyo hiyo moja tu?
 
""Malonya""" Ni Nguo zilizo chini ya kiwango[Nguo kuu kuu]
Mzeee baba wewe mzee wa kuuza Nguo nini???
Dubai kuna nn zaidi ya Malonya?angalau ungesema Uturuki au Thailand
 
Naunga mkono hoja... maana hizi route za Mwanza Drimulaina letu litaanza kunuka shombo la Sato. Wapiga kura wa jiwe tunawajua wenyewe....
Wanapanda na mkaa kwenye dreamlaina hawa watu
 
Dreamliner fahari ya Taifa
 
Tanzania. Land of Natural beauty
 
Mango unaijua Mkuu, kama umekaa kidogo SA hiyo kampuni ina ndege nyingi pengine kuzidi hata KQ ila business yao kubwa ni ndani ya SA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…