kijana wa leo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2011
- 2,921
- 7,173
Kufufua shirika la ndege ni jambo zuri sana, kununua ndege mpya ni jambo zuri sana, LAKINI USIRI KATIKA MANUNUZI YA NDEGE HIZO, PESA KUTUMIKA BILA IDHINI YA BUNGE NI JAMBO BAYA SANA KULIKO UZURI WAKE.Hapa tu ndipo ninapomuelewa MAGUFULI kwa ujasiri wake wa ajabu sana juu ya hili shirika letu la NDEGE.....he is the best president ever...nadhani hakuna RAIS wa kufanananishwa nae kwa sasa kwenye hili balaa letu la AFRIKA..
he has done so many wonders within short period of time
Hapa sijaelewa hivi ikiwa tunadaiwa 4.3 na mapato 4.5 kwa mwezi kwa nn faida ije kuanzi 2023 wakati deni ni dogo kuliko mapato?
Sasa kwa nn faida ije kuanzia mwaka 2023 ikiwa kila mwezi tunapiga 4.5bil hizo nyingine zinaenda wapi ikiwa ndani ya mwezi tu tunakua tumeshalipa deni tunaodaiwa na chenji ikabakiNadhani faida inapatikana baada ya kuchukua mapato yote kwa kipindi husika halafu ukatoa madeni, gharama za uwekezaji, gharama za uendeshaji. Kinachobaki hapo kama kipo positve ni faida, kama negative ni hasara.
Yaani
Total Revenue - Debts - Investments cost - Running Cost = Profit (+) or Loss (-)
Hesabu hiyo ni kwa mujibu wa uelewa wangu wa biashara wa kimtaani, wenye taaluma yao wanaweza kunisahihisha.
Amesema haoni wa kufananisha naye kwenye "balaa" lao. Acheni aendelee na balaa lake.Duuh!wala huhoji matumizi wewe unasifu tuuu
Huko nje ni wapi? Hivi CCM mnajiona fedha za Serikali ya Tanzania ni Mali ya Chama chenu? Kuna mtu amehoji matumizi ya ruzuku ya CCM hapa au amehoji matumizi ya fedha za serikali? Mbona mnajimilikisha Kichama fedha ambazo siyo Mali ya Chama. Tumieni mtakavyo ruzuku yenu na hamtasikia mpinzani yeyote akiwauliza, ila waacheni watanzania waulize matumizi ya fedha yao. Tunajua ruzuku ya vyama inatokana na fedha zetu lakini ndivyo katiba inavyosema mpewe kwa hiyo hata mkinywea chai endeleeni lakini fedha ya serikali inayojadiliwa na kupitishwa na wabunge tuliowachagua kutuwakilisha tutasema tu. Kama kuna matumizi mabaya kwenye vyama ni Kazi ya vyombo husika vinavyolipwa miahahara na posho kwa ajili hiyo kuhoji matumizi. Mkome kabisa kujifanya fedha za serikali ni fedha za Chama chenu, Mkome!Waswahili wanasema hivi..'CHARITY START AT HOME' anza kwanza kuhoji matumizi ya kopdi zetu hapo UFIPA ndio utoke huku nje
Watu waliozoea kupika takwimu siyo wa kuamini Mkuu. Akija mwingine na takwimu wanamuuliza uraia!!?Mkuu kwa sababu wanalindwa kwa Mitutu ya Bunduki watatoa sababu nyingine ,iwe tuna kubaliana nao au la.
Hapa hata mimi nitasaidiwa kuelewa, maana hadi kufikia mwaka 2017 deni lilipungua hadi kufika 4.3b , na kwa mwaka kwa sasa wanaingiza 4.5b. Je, mbona kama inachukua muda hivyo kuanza hupata faida?Hapa sijaelewa hivi ikiwa tunadaiwa 4.3 na mapato 4.5 kwa mwezi kwa nn faida ije kuanzi 2023 wakati deni ni dogo kuliko mapato?