Mgambilwa ni mntu
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 2,869
- 3,187
Ni kama robo saa ila itabidi likageuzie South Sudan kuutafuta uwanja maana liki-takeoff Dar kabla halijakaa sawa linakuwa limeshapitiliza KIA.Safi sana,nakumbuka Mwz-Dar kwa Bombadier ni kama saa 1.45 hivi,kwa hilo mashine itachukua muda gani..?
"Ndege hii inatumia nishati ya umeme zaidi kuliko mafuta hivyo", Muberwa kupitia Azam TV.Kunyanyua hilo dege from Dar na kutua KIA au MWZ ni matumizi mabaya ya resources; inabidi likageuzie South Sudan kuitafuta runway. Dude ambalo uwezo wake wa "wese" ni lita 126,210 yaani zile semi-trailer tanker za mafuta zinamimina mle 3 na bado halijai. Sio mchezo.
Haa hahaha haha haha haha[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Ilani ya CCM unayo? au unapandapanda tu ndege za watu!
Utapata tabu sana mwaka huu.....the ....
Ukikosoa kwa lugha ya kuudhi ama kebehi, hata mimi sikujibu.Atcl mtu akiandika malalamiko kwenye page zao hawamjibu lakini wakisifia fasta wanajibu
Sijui wakoje hawa jamaa!