Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
TRA watakapokuwa wabakufata ofisini kwako pia usiwakimbie mpe Hongera Rais Magufuli, maana hilo dude linaingiza hasara, na ili kufidia itabid mwananch wa chini Aumie,
Kwahiyo sitarajii kuona Ukileta uzi humu kuwa TRA inakubana na kodi zimeongezeka
Umesomea uchumi wa namna gani wewe: je uliishia ECON 000 tu ulivuka hadi kuiona ECON 101? Kuna factors nyingi sana zinazochangia biashara kupata faida au hasara; equipment mpya haina uhusiano wowote na hasara.
