Dreamliner yaanza safari kwa kishindo: Tiketi za Mwanza na KLM tayari zimeisha mpaka tarehe 18 Agosti 2018

TRA watakapokuwa wabakufata ofisini kwako pia usiwakimbie mpe Hongera Rais Magufuli, maana hilo dude linaingiza hasara, na ili kufidia itabid mwananch wa chini Aumie,

Kwahiyo sitarajii kuona Ukileta uzi humu kuwa TRA inakubana na kodi zimeongezeka

Umesomea uchumi wa namna gani wewe: je uliishia ECON 000 tu ulivuka hadi kuiona ECON 101? Kuna factors nyingi sana zinazochangia biashara kupata faida au hasara; equipment mpya haina uhusiano wowote na hasara.
 
Chama kimeshika hatamu
 
Kulikuwepo Euphoria kubwa jana wakati Dreamliner ilipoanza safari yake ya kwanza ya kibiashara na kutua kwenye Viwanja vya Ndege vya Kilimanjaro na Mwanza. Wakati ikitoka KIA, Marubani waliuzunguka Mlima Kilimanjaro ili kuwezesha abiria kupiga picha kwa karibu. It was really amazing and incredible.

Siku ya Uzinduzi wa Safari za Dreamliner tarehe 29.07.2018, Tiketi katika Jiji la Mwanza zilitembezwa na kuuzwa kama njugu na haikupita hata nusu saa pale uwanjani tangu Dreamliner imetua, ikatangazwa kuwa, tiketi za asubuhi na za jioni tayari zilikuwa zimeshajaa.

Uwanja wa Ndege Mwanza.

Zipo kibao kakate mkuu
Usikate tamaa nenda mzee... Hili ni dege bora kabisa barani Afrika. Inadaiwa ni Nchi tatu pekee barani Afrika zenye midege mikubwa na ya kisasa kama hili li-Dreamliner 787. Nyumbani ndo kushanoga hivyo yakheee...
 
Isije ti ikawa kama vipanyani ambapo wapiga debe hujaa ndani na wengi huamini kipanya kinaondoka soon ghafla mmoja mmoja hutoweka na kujikuta mmebaki 2
 
Isije ti ikawa kama vipanyani ambapo wapiga debe hujaa ndani na wengi huamini kipanya kinaondoka soon ghafla mmoja mmoja hutoweka na kujikuta mmebaki 2
Hahahaaaa, huwa wanashuka mmoja mmoja kama wanaenda kununua maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…