Dreamliner yaanza safari kwa kishindo: Tiketi za Mwanza na KLM tayari zimeisha mpaka tarehe 18 Agosti 2018

Watanzania hao3000 watapanda air Tanzania tu?wengi wanaenda nje Kwanza sio traveling within elewa Hilo alaf hili soko huria sio ujamaa
 
Tatizo liko wapi si zinakuwa zimenunuliwa Na shirika limeingiza pesa? Chadema magwanda ya chadema Huwa mnawauzia CCM? Si mnajiuzia wenyewe?
Lakini si Huwa mumeuza? Very poor argument
Leta ushahidi kama linaingiza faida

Mana vitabu vinaonesha ni hasara kwa miaka20
 
TRA watakapokuwa wabakufata ofisini kwako pia usiwakimbie mpe Hongera Rais Magufuli, maana hilo dude linaingiza hasara, na ili kufidia itabid mwananch wa chini Aumie,

Kwahiyo sitarajii kuona Ukileta uzi humu kuwa TRA inakubana na kodi zimeongezeka
Imeingizaje hasara wakati haijaanza kazi?
 
Safi sana,nakumbuka Mwz-Dar kwa Bombadier ni kama saa 1.45 hivi,kwa hilo mashine itachukua muda gani..?
Dk 10 hivi angani likinyanyuka kushika mawingu dk 5 mwanza hii hapa linatua mda mwingi utatumika kwenye kutua
 
TRA watakapokuwa wabakufata ofisini kwako pia usiwakimbie mpe Hongera Rais Magufuli, maana hilo dude linaingiza hasara, na ili kufidia itabid mwananch wa chini Aumie,

Kwahiyo sitarajii kuona Ukileta uzi humu kuwa TRA inakubana na kodi zimeongezeka
Lipa kodi kama utaona wanakufuata bila sababu za msingi.
 
Nchi hii ilivo na masinema sitashangaa nikisikia hizo tiketi zote zimenunuliwa na maccm ili kuonesha kuwa zinauzika
Sasa ulifikiri nani atanunua?

Pesa ya kubadilisha paa la ufipa inawapiga danadana ya kupandia dreamliner mtatoa wapi?
 
Kwa hiyo kama si mauzo ya tiketi hayo madude huwa yanatumika kufanya biashara gani nyingine? Kupigia picha ama?
 
Nchi hii ilivo na masinema sitashangaa nikisikia hizo tiketi zote zimenunuliwa na maccm ili kuonesha kuwa zinauzika
Tatizo lipo wapi mkuu? Basi tuombe lifeli ili tumkomoe Magu au
 
Leta ushahidi kama linaingiza faida

Mana vitabu vinaonesha ni hasara kwa miaka20
Hiyo miaka 20 hizi ndege mpya zilikuwepo? Usiwe mtumwa wa historia aliyekubuhu kukariri historia the study of past human events .watu tunashughulika Na NOW Na Future Baki Na lihistoria lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…