pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Linaingizaje hasara kabla halijaanza kaziTRA watakapokuwa wabakufata ofisini kwako pia usiwakimbie mpe Hongera Rais Magufuli, maana hilo dude linaingiza hasara, na ili kufidia itabid mwananch wa chini Aumie,
Kwahiyo sitarajii kuona Ukileta uzi humu kuwa TRA inakubana na kodi zimeongezeka
Mkuu watanzania ndivyo tulivyo... mimi. natamani bei ziwe affordable na endelevu na si kukomoana... wote tufurahie mema ya nchi!!watu ukiwaambia kuwa hizi ndege zinajaa hawakubali sijui wanatakaje?
hivi katika tanzania yenye watu zaidi ya millioni 50 hakuna watu wenye uhitaji wa kupanda ndege 3000 kwa siku? hii ni hesabu rahisi tu wakati ndege zote zikijaza za shirika hilo hawafiki watu 1000?
tumekazana kuwa watapata wapi wateja kweli? yaani unazaa mtoto lakini sala zako unaomba mtoto afe haraka do! sijatembea na kuvuka mpaka lakini tujifikirie upya kwa maslahi ya taifa vinginevyo tusema kuwa tunayopinga tuna furahisha ubongo kupunza stress zetu.
kwani ATCL wanazo ndege za kubeba watu 3000 kwa siku? hata hizo ndege za watu binafsi bado zinapata wateja na kuna watu wanaziamini zaidi. si kweli watu hawatumii au hawapendi kutumia ndege safari za ndani la bei zipo juu na wakati mwingine bila sababu hivyo wacha ndege ziwe nyingi zinaweza kusaidia watu kutumia ndege zaidi na wakati mwingine bado watanzania hawajajengwa kisaikolojia mara nyingi tunawajenga watu kujikataa kuliko kujikubali kitu ambacho si sahihi sana.Watanzania hao3000 watapanda air Tanzania tu?wengi wanaenda nje Kwanza sio traveling within elewa Hilo alaf hili soko huria sio ujamaa
Pia, eleweni tu Bombardier zilizokuwa zinatumia hiyo route sasa zinakosa abiria na ni hasara kuzipaki kwa huo mwezi mzima.
Kifua mbele kisa ndege? Hiyo ndege inamsaidia nini bibi yako kijijini kule? Idiot!!Hongera JPM, Hongera Tanzania. Sasa tunaweza kutembea kifua mbele.
mi naimani siku zijazo tutaweza tu kumudu hata jinsi ya kumiliki gari haikuwa kawaida tulivyozoea tukaweza.Mkuu watanzania ndivyo tulivyo... mimi. natamani bei ziwe affordable na endelevu na si kukomoana... wote tufurahie mema ya nchi!!
Sio chadema,watanzania kiujumlaHii ni aibu kubwa sana kwa chadema
mbona hamtaji hizo nauli tujuee.. nataka nami chokermbaya nione kama ntaweza kulidandiaNdege mpya ya ATCL ya Dreamliner, inatarajiwa kuanza safari zake za tarehe 29 Julai 2018 kwenda Mwanza na KLM kwa kishindo baada ya tiketi kuisha mpaka za kufikia tarehe 18 Agosti 2018. Hongera sana Rais Magufuli kwa kufikiria madude kama haya.
View attachment 807780
mwanzo ilikuwa mnatembea makalio nyumaHongera JPM, Hongera Tanzania. Sasa tunaweza kutembea kifua mbele.
sawaNdege mpya ya ATCL ya Dreamliner, inatarajiwa kuanza safari zake za tarehe 29 Julai 2018 kwenda Mwanza na KLM kwa kishindo baada ya tiketi kuisha mpaka za kufikia tarehe 18 Agosti 2018. Hongera sana Rais Magufuli kwa kufikiria madude kama haya.
View attachment 807780
Hongera JPM, Hongera Tanzania. Sasa tunaweza kutembea kifua mbele.
Faini yake huko angani ni ma b tuha ha haaa.. Wanaogopa trafiki tena siku hizi wameongeza dau, bajaji wanaanzia 30,000 kosa moja, sipati picha drimu laina likifumwa likiwa na mshkaki!
kwahili mtapata taaabu sanaMkuu watanzania ndivyo tulivyo... mimi. natamani bei ziwe affordable na endelevu na si kukomoana... wote tufurahie mema ya nchi!!
[emoji16][emoji3]TRA watakapokuwa wabakufata ofisini kwako pia usiwakimbie mpe Hongera Rais Magufuli, maana hilo dude linaingiza hasara, na ili kufidia itabid mwananch wa chini Aumie,
Kwahiyo sitarajii kuona Ukileta uzi humu kuwa TRA inakubana na kodi zimeongezeka
Ndege mpya ya ATCL ya Dreamliner, inatarajiwa kuanza safari zake za tarehe 29 Julai 2018 kwenda Mwanza na KLM kwa kishindo baada ya tiketi kuisha mpaka za kufikia tarehe 18 Agosti 2018. Hongera sana Rais Magufuli kwa kufikiria madude kama haya.
View attachment 807780
we jamaa ni mwongo sana..... mbona website ya ATCL nimefanya booking nafasi zipo hata tarehe 20 july?Ndege mpya ya ATCL ya Dreamliner, inatarajiwa kuanza safari zake za tarehe 29 Julai 2018 kwenda Mwanza na KLM kwa kishindo baada ya tiketi kuisha mpaka za kufikia tarehe 18 Agosti 2018. Hongera sana Rais Magufuli kwa kufikiria madude kama haya.
View attachment 807780
Akiumwa nawahi kumfikia nimkimbize hospital.Bila ndege ningechelewa ningemkuta kafaKifua mbele kisa ndege? Hiyo ndege inamsaidia nini bibi yako kijijini kule? Idiot!!
Ndo unazidi kutuonyesha upumbavu wako,bibi yako yupo mtwara ndani huko idiot!!Akiumwa nawahi kumfikia nimkimbize hospital.Bila ndege ningechelewa ningemkuta kafa