MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,104
- 6,827
Hakika tukuyu imebarikiwa ardhi hii ya kijani
Unakutana na ndizi imenona hiyo,
miwa mitamu hiyo daa,hivi watu wa huku hawataumwa figo aise
mahindi matamu hayo siyo ya DSM yaliyovunda kule buguruni
Lakini mbona hakuna kiwanda cha kusindika maziwa
huku ng'ombe anashiba majani mabichi siyo yaliyokauka
Tumeona kiwanda cha maparachichi yanayoandaliwa kupelekwa ulaya ,
DREMLINER IMEKUJA MUDA MUAFAKA
NDAGA FIJO NALOLI ,
Hawa watu mbona wamejaliwa hivi.