Drip agriculture

Drip agriculture

Unaulizia drip irrigation system au uchimbaji wa kisima?

uchimbaji wa kisima
 
Habar wana jf.

Neimekua nikitafta maarifa ya agribusiness kwa muda mrefu..nikakutana na greenhouse ambayo gharama zake ni ghari.


Nmekutana na hii Drip agriculture.
Ni sawasawa na kusema nilitaka kununua jembe bei yake ikawa kubwa nikaamua kununua mfagio

One is not necessarily an alternative to the other..., Greenhouse inasaidia kuweka mazingira ambayo unaweza ukaya-control hence kulima/kupanda kitu ambacho otherwise ungeshindwa kukipanda kutokana na mazingira hayo.., drip irrigation ni umwagiliaji ambayo una-conserve maji kwa kumwagilizia directly kwenye mmea wenyewe na kidogo kidogo

Sasa inabidi mwenyewe uangalie je unahitaji hayo ili wewe kupata hayo mazao au ni kujiongezea gharama ambazo hazina maana...

Pia unaweza ukatengeneza drip irrigation kwa kukata makopo / chupa na kuyatoboa maji yawe yanatoka matone matone kama ni kwenye miti ya matunda na hayo matunda sio mengi

Kwa kuongeza overheads hakikisha soko lipo na lina justify hio increase of overheads na hakuna alternative
 
Wasambazaji wameanza kupunguza bei za drip lines, kwa sasa wengi wanauza tsh 600/mita. wakati walikua wanauza tsh950/mita nazani nanenane zitashuka zaidi ngoja tusubiri.
 
Irrigation driplines and acceasories. Even Green houses fully equiped and chicken houses
 
Wasambazaji wameanza kupunguza bei za drip lines, kwa sasa wengi wanauza tsh 600/mita. wakati walikua wanauza tsh950/mita nazani nanenane zitashuka zaidi ngoja tusubiri.

madula yapi wanauza kwa bei oyo mkuu?
 
ushauri wangu, jaribu kwenye bustani ndogo ndo uingie kwenye mradi rasmi
 
Back
Top Bottom