Ni sawasawa na kusema nilitaka kununua jembe bei yake ikawa kubwa nikaamua kununua mfagioHabar wana jf.
Neimekua nikitafta maarifa ya agribusiness kwa muda mrefu..nikakutana na greenhouse ambayo gharama zake ni ghari.
Nmekutana na hii Drip agriculture.
Pigia simu kwa yeye sio mimi. Yeye anauza.
0784713486 Mr.Kindi
Wasambazaji wameanza kupunguza bei za drip lines, kwa sasa wengi wanauza tsh 600/mita. wakati walikua wanauza tsh950/mita nazani nanenane zitashuka zaidi ngoja tusubiri.
madula yapi wanauza kwa bei oyo mkuu?