Ndugu kuna mtu anaufahamu na jinsi kilimo cha umwagiliaji maji kwa njia ijulikanayo Drip Irrigation,je hicho kilimo kwa mtu wa kawaida nisiye na mtaji mkubwa nataka kulima kilimo cha mboga na matunda hapa Dar kinawezekana?,je kuna mtaalamu yeyote aliyepo Dar anayejua hicho kilimo cha umwagiliaji maji kidogo?na je gharama zake ni zipi nimejaribu kusoma makala mbalimbali kwenye mtandao ili niweze kutumia huo ujuzi lakini bado nahitaji msaada zaidi,pia ningependa kutembelea sehemu ambayo kuna mtu anaendesha hicho kilimo hapa dar.
Na mwisho Green house inafaa kwa kilimo hapa Dar?
asanteni
Na mwisho Green house inafaa kwa kilimo hapa Dar?
asanteni