Drip irrigation in Dar

Drip irrigation in Dar

KyelaBoy

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2008
Posts
206
Reaction score
22
Ndugu kuna mtu anaufahamu na jinsi kilimo cha umwagiliaji maji kwa njia ijulikanayo Drip Irrigation,je hicho kilimo kwa mtu wa kawaida nisiye na mtaji mkubwa nataka kulima kilimo cha mboga na matunda hapa Dar kinawezekana?,je kuna mtaalamu yeyote aliyepo Dar anayejua hicho kilimo cha umwagiliaji maji kidogo?na je gharama zake ni zipi nimejaribu kusoma makala mbalimbali kwenye mtandao ili niweze kutumia huo ujuzi lakini bado nahitaji msaada zaidi,pia ningependa kutembelea sehemu ambayo kuna mtu anaendesha hicho kilimo hapa dar.
Na mwisho Green house inafaa kwa kilimo hapa Dar?
asanteni
 
Ndugu mimi nimeona drip irrigation. Kuhusu swala la gharama, sina hakika sana lakini kwa jinsi nilivyoona, gharama zaidi itakuwa kwenye kutengeneza reserve tank maana maji ya DAWASCO hayaaminiki sana. Vifaa vingine kama mabomba ya sidhani kama ni gharama. Nitamtafuta mhusika mwenye huo mfumo na kumwomba kama yuko tayari kukupa taarifa halafu nitakufahamisha. ingekuwa vema ukaweka contact zako kamili.
Asante.
 
Back
Top Bottom