Drip irrigation

Kujua gharama ya mfumo wa umwagiliaji ni lazima uwe na taarifa zifuatazo
1.Ujue unalima zao gan?
2.Spacing ya Row/Row na Plant/plant
3.Chanzo cha maji/tenki
Hapo unapata picha uweke mfumo wa aina gani ambao una gharama nafuu
Zaidi gharama ni 1,500,000-2,000,000/= hiyo inajumuisha gharama ya vifaa na ufundi ukitoa gharama za tenki au pampu.
 
Mawasiliano yako, upo mkoa gani
 
Kwa kilimo Cha nyanya gharama ziko je?
 
Vipi kuhusu zao la mahindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…