Drip irrigation

Drip irrigation

Kujua gharama ya mfumo wa umwagiliaji ni lazima uwe na taarifa zifuatazo
1.Ujue unalima zao gan?
2.Spacing ya Row/Row na Plant/plant
3.Chanzo cha maji/tenki
Hapo unapata picha uweke mfumo wa aina gani ambao una gharama nafuu
Zaidi gharama ni 1,500,000-2,000,000/= hiyo inajumuisha gharama ya vifaa na ufundi ukitoa gharama za tenki au pampu.
Wewe kama biashara siyo MAGUMASHI mwaga tu kila kitu hapa hapa, unataka kila mteja akufuate PM? Black man wake up
 
Nina kisima kama futi 20 kwenda chini na upana futi 20 lengo nilime nyanya je na eneo kiujumla ni kama heka 1.5 je gharama ikoje kunifungia huo mfumo wa umwagiliaji? Kwasababu mambo ya kubeba keni yataniumiza kifua
 
Uzuri wa drip irrigation inakupa faida maradufu ikiwa ni pamoja uhakika wa kuvuna, japokuwa mwanzoni gharama kubwa kiasi.
Katika aina hi y umwagliaj, ukivuna unatoa hzo bomba kwanz au znakuwepo hata mimea mipya unatummia hzo hzo?
 
Nina kisima kama futi 20 kwenda chini na upana futi 20 lengo nilime nyanya je na eneo kiujumla ni kama heka 1.5 je gharama ikoje kunifungia huo mfumo wa umwagiliaji? Kwasababu mambo ya kubeba keni yataniumiza kifua
Kwanini upate tabu mzee, Dunia ipo kiganjani kwako, ingia YouTube search video nenda Alibaba nunua kila kitu rudi YouTube check video funga mtambo wako.

Tumia Google vizuri uta save garama kubwa
 
Nina kisima kama futi 20 kwenda chini na upana futi 20 lengo nilime nyanya je na eneo kiujumla ni kama heka 1.5 je gharama ikoje kunifungia huo mfumo wa umwagiliaji? Kwasababu mambo ya kubeba keni yataniumiza kifua
Ni vema tufike shambani tuone then upate bajeti nzima kulingana na mahitaji yako,lakini kwa makadirio ukiwa na pampu gharama za mfumo wa umwagiliaji wa matone inakuwa chini ya milioni na nusu kwa project yako.
 
Katika mfumo huu ni lazima kuwa na tenki, au unaweza kuunganisha Moja Kwa Moja kutoka kwenye pump kwenda main pipe na Kisha zile tape ambazo zinakuwa na emitters?
 
Back
Top Bottom