Drive show nzuri kwa sasa: Hongera sana Salim Kikeke, naona naona umefanya proper replacements ya Gadna

Drive show nzuri kwa sasa: Hongera sana Salim Kikeke, naona naona umefanya proper replacements ya Gadna

Brojust

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
349
Reaction score
1,024
Salaam wakuu;

Kwa siku za karibuni naona kipindi cha KASRI cha salim kikeke ndio imekuwa Drive show nzuri zaidi, ukizingatia maudhui yake na watu anao wahoji.

Jamaa naona ana bonge moja la idea, Kweli aliyekuzidi ki exposure amekuzidi tu.

Baadhi ya vijana, wajifunze sana kwa salim kikeke, Hongera sana najua upo humu JF kwa ID nyingine.

#YangaBigwa
 
Wengine sisi wavivu mno kusikiliza redio, inakatika miaka hujasikiliza redio
 
Back
Top Bottom