Nina uwezo wa kufanya matengenezo madogo kulingana na tatizo lilikopo kwenye gari ushauri na Nina uwezo kwani nimekaimu kama (TO) Yaani transport officer kwa miaka mitatu kusimamia gari zaidi ya 35 za taasisi na madreva wake kwamaana no mambo ya Logistic and transport management nayamudu kama MTU ananihitaji Niko tayari at any time anywhere kwa no 0715-0784-468700