Sijasema mambo ya vyeti veki mbona ni out of our topic no kwamba my contract ended that's way is the time for me to seek other means hayo unajua wewe Niko full
Nina uwezo wa kufanya matengenezo madogo kulingana na tatizo lilikopo kwenye gari ushauri na Nina uwezo kwani nimekaimu kama (TO) Yaani transport officer kwa miaka mitatu kusimamia gari zaidi ya 35 za taasisi na madreva wake kwamaana no mambo ya Logistic and transport management nayamudu kama MTU ananihitaji Niko tayari at any time anywhere kwa no 0715-0784-468700
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.