Kalemataka
Member
- Aug 19, 2017
- 48
- 10
Asante kwa kunijuzaHawa MLIMANI DRIVING SCHOOL sio kabisa walimu wao wengi wababaishaji sana, unalipa ofisini ada njian unaombwa tena hela. Na usipowapa ujue wanakutolea lugha chafu Na ufundishaji mbovu kabisa. Wana magari lakin walimu hawafai.
Mkuu lete mrejesho, ulifanikisha ? Shule/chuo kipi ada ilikuwa ngapi na kwa muda gani ulijua udereva.Wadau,
Nataka niingie shule ya udereva kwa sasa naomba mnijuze ni 'driving school' ipi ni nzuri na inatoa huduma ya uhakika nipo maeneo ya tegeta na ningefurahi kama isingekuwa mbali sana na huku.
Karibuni!
Wadau,
Nataka niingie shule ya udereva kwa sasa naomba mnijuze ni 'driving school' ipi ni nzuri na inatoa huduma ya uhakika nipo maeneo ya tegeta na ningefurahi kama isingekuwa mbali sana na huku.
Karibuni!
Hawa MLIMANI DRIVING SCHOOL sio kabisa walimu wao wengi wababaishaji sana, unalipa ofisini ada njian unaombwa tena hela. Na usipowapa ujue wanakutolea lugha chafu Na ufundishaji mbovu kabisa. Wana magari lakin walimu hawafai.