Drogba Vs Rooney: Katika Ubora Wao Ulimkubali Yupi?

Wazza hata ukimuweka golini anacheza ila drogba zaidi ya uviziaji hakuna kingine.

Nakumbuka goli za rooney dhidi ya man city na lile dhidi ya aston villa katikati ya uwanja.
Rooney ni zaidi ya mchezaji.
 
Wote ni wazuri ila Drogba pia ni mzuri ,anatumia nguvu na akili halafu anajua kuhamasisha timu
 
Naikumbuka hyo mechi. Ferguson aliwashangaza waliowengi kwa kumpanga Rooney aliyekuwa majeruhi huku akimwacha Berbatov mzima benchi.
 
Wazza hata ukimuweka golini anacheza ila drogba zaidi ya uviziaji hakuna kingine.

Nakumbuka goli za rooney dhidi ya man city na lile dhidi ya aston villa katikati ya uwanja.
Rooney ni zaidi ya mchezaji.
Hahaa kwahyo mkuu, Drogba hana tofauti na Chicharito?
 
Rooney alikuzwa tu kwa vile ni muingereza, kuwepo kwa Ronaldo Man u kulichangia yeye kuwa mchezaji mzuri,Kwangu mimi Didier Drogba ni zaidi ya Rooney.
You cant be serious mkuu, Rooney na Ronaldo wamecheza pamoja at top level misimu 3 tu.

Ronaldo anaondoka man utd na Rooney anafunga goli 39 na 40 misimu miwili tofauti. Kifupi rooney alikuwa mfungaji zaidi Ronaldo alipoondoka.

Na hata Afunge goli ngapi Rooney Atakupa assist kama 10 hivi kila msimu.
 
Usimfananishe King Drogba na Rooney ..uyo uingereza ulim'beba...

Mpaka anafikia kuitwa King ..sio kazi ya kitoto ..

Live long Lengend Didier Drogba King...

Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
Aliitwa King na shabiki wa Chelsea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…