Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naikumbuka hyo mechi. Ferguson aliwashangaza waliowengi kwa kumpanga Rooney aliyekuwa majeruhi huku akimwacha Berbatov mzima benchi.Rooney ni habari nyingine mfumo mzima wa timu ulikuwa unamtegemea yeye ndio maana asipokuwepo karibia mfumo mzima wa timu unakuwa chini ya kiwango yaani kianzia katikati mpk kwenye ushambuliaji , kumbukumbu nzuri Uefa 2010 Bayern walimjeruhi kwa makusudi ili akose mechi ya marudiano akudungwa sindano ili awepo tu uwanjani kingine mjamaa hata kukaba anakaba sometimes anarudi kudifense na tackle anapiga fresh tu.
Na mimi nililiona hilo ndio maana nilitoa angalizo mapema.Ushabiki utatawala Zaid hapa
Hahaa kwahyo mkuu, Drogba hana tofauti na Chicharito?Wazza hata ukimuweka golini anacheza ila drogba zaidi ya uviziaji hakuna kingine.
Nakumbuka goli za rooney dhidi ya man city na lile dhidi ya aston villa katikati ya uwanja.
Rooney ni zaidi ya mchezaji.
Kwenye hamasa hapo naona kazidiwa na WazzaWote ni wazuri ila Drogba pia ni mzuri ,anatumia nguvu na akili halafu anajua kuhamasisha timu
You cant be serious mkuu, Rooney na Ronaldo wamecheza pamoja at top level misimu 3 tu.Rooney alikuzwa tu kwa vile ni muingereza, kuwepo kwa Ronaldo Man u kulichangia yeye kuwa mchezaji mzuri,Kwangu mimi Didier Drogba ni zaidi ya Rooney.
Hata baada ya kuondoka Ronaldo, Rooney aliendelea kutamba.Rooney alikuzwa tu kwa vile ni muingereza, kuwepo kwa Ronaldo Man u kulichangia yeye kuwa mchezaji mzuri,Kwangu mimi Didier Drogba ni zaidi ya Rooney.
Nilikuwa nasoma comment, nimekutana na comment niliyotaka nipost UPO SAHIHI KABISA MKUUUsimfananishe King Drogba na Rooney ..uyo uingereza ulim'beba...
Aliitwa King na shabiki wa Chelsea.Usimfananishe King Drogba na Rooney ..uyo uingereza ulim'beba...
Mpaka anafikia kuitwa King ..sio kazi ya kitoto ..
Live long Lengend Didier Drogba King...
Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]