Drogba Vs Rooney: Katika Ubora Wao Ulimkubali Yupi?

Drogba alikua mmaliziaji Mzuri, Rooney alikua mtengenezaji na mmaliziaji, Rooney alikua hakubali kushindwa kirahisi.
Rooney alikua na Roho ya Roy Keane's ,Moyo wa Paul Schools na akili ya Van niestorooy. Complete football package.
Naam, umetueleza uzuri. Kwahyo Drogba apart from kuwa mmamliziaji mzuri hakuwa na cha ziada?
 
Mimi shabiki wa Chelsea namkubali sana Drogba lakini Wayne Rooney ni habari nyingine.mchezaji aliyekamilika kila idara.anakaba,anafunga,anapiga pasi za mwisho(ana macho ya mwewe)anapiga pasi ndefu huku tunaita kisambusa.huyu mnyama akikaa engo nzuri anakunya kisawasawa(anapiga mashuti ya kufa mtu).Kuna mdau kamaliza kwa kusema ana roho ya upambanani ya Roy Kean na moyo wa Paulo Scholes nakubaliana nae kabisa
 
Andy Shevshenko(nimeandika linavyotamkwa) na Fernando Torres wote walishindwa ku perform mbele ya Drogba
 
Bila ubaguzi wa Rangi,ni Rooney.... Drogba hakuwa na msaada mwingine kama Rooney


Unai out
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…