kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
I repeat again no one like mnyama drogba😀😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazuia ngumi kwa kumshikilia mmoja una taabu weweYah, nakuunga mkono hoja yako
Nimejikuta nacheka [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hili swali inabidi washabiki wa Arsenal ndio walijibu, maana ndio wahanga wakubwa wa hawa watu.
Naam, umetueleza uzuri. Kwahyo Drogba apart from kuwa mmamliziaji mzuri hakuwa na cha ziada?Drogba alikua mmaliziaji Mzuri, Rooney alikua mtengenezaji na mmaliziaji, Rooney alikua hakubali kushindwa kirahisi.
Rooney alikua na Roho ya Roy Keane's ,Moyo wa Paul Schools na akili ya Van niestorooy. Complete football package.
Acha utani mkuu. Rooney akiwa talented striker, Alan Shearer au Michael Owen watakuwa akina nani?Wayne Mark Rooney...A talented English striker
Kivipi mkuu?Unazuia ngumi kwa kumshikilia mmoja una taabu wewe
Mi nahisi Rooney angekuwa mweusi tungetamba sana maana waafrika kwa kutetea vya kwetu tupo vizuri hata kama ni vya kawaidaIko hivi, drogba angekuwa mzungu angepewa heshima yake n rooney angekuwa mwafrika tusingesikia lolote kuhusu yeye maana hata etoo kamzidi sana.
😁😁😁 wewe ndo umemaliza utata mkuu hebu waje hapa waweke mambo sawa maana sisi tunachanganya na ushabikiHili swali inabidi washabiki wa Arsenal ndio walijibu, maana ndio wahanga wakubwa wa hawa watu.
Mbona hatuwatetei sasa wazuri waliopo?Mi nahisi Rooney angekuwa mweusi tungetamba sana maana waafrika kwa kutetea vya kwetu tupo vizuri hata kama ni vya kawaida
Jamaa wamewatembezea sana vichapoNimejikuta nacheka [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa hiyo tumtee Drogba kwa kuwa mweusi au mi ndo sijaelewa?!Mi nahisi Rooney angekuwa mweusi tungetamba sana maana waafrika kwa kutetea vya kwetu tupo vizuri hata kama ni vya kawaida