Brazil ni mchanganyiko ila hakuna wazungu pureNi akina nan
Ni watu gan sasaBrazil ni mchanganyiko ila hakuna wazungu pure
Kwa nyakati fulani, hawa walikuwa mastraika tegemeo kwenye vilabu vyao. Didier Drogba "The African James Bond" akiwa tegemeo kubwa pale Chelsea ilhali Wayne Rooney "Wazza" a.k.a "The White Pele" akiwa muhimili wa mafanikio Man Utd.
Nyakati zimekimbia, Drogba ameshastaafu soka la ushindani wakati Rooney yupo akimalizia soka lake huko Marekani.
Kama uliwahi kuwashihudia mastaa hawa wakitamba EPL na UEFA, tuweke ushabiki wa vilabu vyetu kando, yupi ulimkubali sana?
View attachment 1263016View attachment 1263017
Kwani swali linasemaje? Me nadhani kila mtu ana mtazamo wakeKwahiyo umeuliza swali ukiwa na jibu lako?
Naona mashabiki wa mwanitesa united mnajifariji
Endeleen
Unaweza kuwa na magoli mengi yasiyo na faidaWayne Rooney ni zaidi ya Drogba pamoja nakucheza nafasi ya foward na attacking midfielder nyuma ya striker akafanikiwa kuwa second top score in PL pamoja na timu yake ya Taifa. Kama angekuwa anachezeshwa striker angekuwa bora zaidi na kuweza kushinda hata Balon D’or
Vingine ni kumpa sifa za uongo tu, wakicheza na Bayern, Rooney aliwekwa chini ya ulinzi na beki aitwae Martin Demichels, Rooney hakufurukuta hata kidogoRooney ni habari nyingine mfumo mzima wa timu ulikuwa unamtegemea yeye ndio maana asipokuwepo karibia mfumo mzima wa timu unakuwa chini ya kiwango yaani kianzia katikati mpk kwenye ushambuliaji , kumbukumbu nzuri Uefa 2010 Bayern walimjeruhi kwa makusudi ili akose mechi ya marudiano akudungwa sindano ili awepo tu uwanjani kingine mjamaa hata kukaba anakaba sometimes anarudi kudifense na tackle anapiga fresh tu.
Vingine ni kumpa sifa za uongo tu, wakicheza na Bayern, Rooney aliwekwa chini ya ulinzi na beki aitwae Martin Demichels, Rooney hakufurukuta hata kidogo
Waulize Arsenal wana majibu mazuriHiv drogba Naye alikuwa mchezaji kumbe ????...
Hivi unajua kama drogba hayupo hata top 10 ya wafungaji bora wa ligi kuu ya uingereza? Huyo alikuwa ni mshambuliaji gani kama hata top ten hayupo? Yaani hata scholes yupo juu yake kwa wingi wa magoli halafu mnampambanisha na rooney acheni utani
Na Kwanini mnalinganisha visivyolinganishwaRooney yupo mbali sana ya drobga. Drogba alikuwa mviziaji wakati rooney kasoro kuwa golikipa tu
Alikuwa muimba kwaya.Hiv drogba Naye alikuwa mchezaji kumbe ????...
Hahaha Kila kipa anamfahamu king Didier ..kamuulize kaseja Ivo Mapunda ..wote wanamjuaHuyo rooney ashindanishwe na Nicolas Anelka ndiye size yake na si Didier Drogba.
kama ni mbio hata pepe anazo
teh teh
Ollachuga Oc
Kabisa mkuu ..media za UK zinakuza wachezaji waoNilikuwa nasoma comment, nimekutana na comment niliyotaka nipost UPO SAHIHI KABISA MKUU
Ni king of all the time pale London na England kwa ujumla..Aliitwa King na shabiki wa Chelsea.
Mwenzake Lampard ni kocha sasa uyo Rooney bado anaruka ruka tu uwanjani..Hivi unajua kama drogba hayupo hata top 10 ya wafungaji bora wa ligi kuu ya uingereza? Huyo alikuwa ni mshambuliaji gani kama hata top ten hayupo? Yaani hata scholes yupo juu yake kwa wingi wa magoli halafu mnampambanisha na rooney acheni utani
Kuna watu bado mna zile old mentality kwamba kila anaetokea uingereza anakuzwa na media just look atKabisa mkuu ..media za UK zinakuza wachezaji wao