Drogba Vs Rooney: Katika Ubora Wao Ulimkubali Yupi?

Drogba Vs Rooney: Katika Ubora Wao Ulimkubali Yupi?

Marekani ya wapi wakati Rooney yupo Derby Country?
Kwa nyakati fulani, hawa walikuwa mastraika tegemeo kwenye vilabu vyao. Didier Drogba "The African James Bond" akiwa tegemeo kubwa pale Chelsea ilhali Wayne Rooney "Wazza" a.k.a "The White Pele" akiwa muhimili wa mafanikio Man Utd.

Nyakati zimekimbia, Drogba ameshastaafu soka la ushindani wakati Rooney yupo akimalizia soka lake huko Marekani.

Kama uliwahi kuwashihudia mastaa hawa wakitamba EPL na UEFA, tuweke ushabiki wa vilabu vyetu kando, yupi ulimkubali sana?

View attachment 1263016View attachment 1263017
 
Wayne Rooney ni zaidi ya Drogba pamoja nakucheza nafasi ya foward na attacking midfielder nyuma ya striker akafanikiwa kuwa second top score in PL pamoja na timu yake ya Taifa. Kama angekuwa anachezeshwa striker angekuwa bora zaidi na kuweza kushinda hata Balon D’or
Unaweza kuwa na magoli mengi yasiyo na faida

Drogba man of the finals
 
Rooney ni habari nyingine mfumo mzima wa timu ulikuwa unamtegemea yeye ndio maana asipokuwepo karibia mfumo mzima wa timu unakuwa chini ya kiwango yaani kianzia katikati mpk kwenye ushambuliaji , kumbukumbu nzuri Uefa 2010 Bayern walimjeruhi kwa makusudi ili akose mechi ya marudiano akudungwa sindano ili awepo tu uwanjani kingine mjamaa hata kukaba anakaba sometimes anarudi kudifense na tackle anapiga fresh tu.
Vingine ni kumpa sifa za uongo tu, wakicheza na Bayern, Rooney aliwekwa chini ya ulinzi na beki aitwae Martin Demichels, Rooney hakufurukuta hata kidogo
 
Angalia Drogba ameanza kucheza ligi ya uingereza akiwa anatokea wapi na akiwa na umri gani ndio umfananishe na Rooney,
Hivi unajua kama drogba hayupo hata top 10 ya wafungaji bora wa ligi kuu ya uingereza? Huyo alikuwa ni mshambuliaji gani kama hata top ten hayupo? Yaani hata scholes yupo juu yake kwa wingi wa magoli halafu mnampambanisha na rooney acheni utani
 
Drogba kariba yake ni Lukaku. Angalia stats hapo chini
images-1.jpg
 
Drogba na Rooney mtoa mada jipange watu wawili tofauti
 
Hivi unajua kama drogba hayupo hata top 10 ya wafungaji bora wa ligi kuu ya uingereza? Huyo alikuwa ni mshambuliaji gani kama hata top ten hayupo? Yaani hata scholes yupo juu yake kwa wingi wa magoli halafu mnampambanisha na rooney acheni utani
Mwenzake Lampard ni kocha sasa uyo Rooney bado anaruka ruka tu uwanjani..
 
Back
Top Bottom