Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa muda mfupi, unajua huu ujenzi umeanza mwaka gani?Pongezi kwa mama SSH kwa kukamilisha mradi huu katika kipindi hiki kifupi
Yeah! Ni muda wa kumuenzi JPM kwa ile tabia ya kumwaga misifa kwa Mhe. Rais.Pongezi kwa mama SSH kwa kukamilisha mradi huu katika kipindi hiki kifupi
Ulianza zamani kabla ya JPMKwa muda mfupi, unajua huu ujenzi umeanza mwaka gani?
Ujenzi rasmi umeanza miaka miwili na nusu iliyopita!Ulianza zamani kabla ya JPM
![]()
SERIKALI YA JAMHURI YA KOREA YAKUBALI KUTOA FEDHA KWA AJILI YA UJENZI WA DARAJA JIPYA LA SALENDER
Muonekano wa Daraja jipya la Salenda litaakalopita baharini kuanzia Coco Beachi (Oysterbay) kwenda Hospitali ya Aga Khan (Maeneo ya Oc...michuzi-matukio.blogspot.com
Ujenzi ni mchakato, unaanza na wazo/changamoto, upembuzi yakinifu,ubunifu,utafutaji pesa,uingiaji mkataba,...Ujenzi rasmi umeanza miaka miwili na nusu iliyopita!
kuna kitu kinaitwa preliminary stages huwa haziwi counted kwenye ujenzi. Ujenzi huanza kuanzia mobilization stage! Jifunze project management kwanza kabla ya ku-expose ujuha!Ujenzi ni mchakato, unaanza na wazo/changamoto, upembuzi yakinifu,ubunifu,utafutaji pesa,uingiaji mkataba,...
Kwahiyo wewe ni mjuaji kuliko KOICA waliofanya feasibility study na ku-approve the project?Hivi wameshindwa kabisa kupasua Msimbazi kati hapa kutoka Muhimbili/ Upanga kuja Kinondoni/ Magomeni?
Naona kama hili daraja liko baharini zaidi linazungusha sana traffic.
Ujenzi umeanza 2018. Unataka kusema JPM kaanza uraisi 2019?Ulianza zamani kabla ya JPM
![]()
SERIKALI YA JAMHURI YA KOREA YAKUBALI KUTOA FEDHA KWA AJILI YA UJENZI WA DARAJA JIPYA LA SALENDER
Muonekano wa Daraja jipya la Salenda litaakalopita baharini kuanzia Coco Beachi (Oysterbay) kwenda Hospitali ya Aga Khan (Maeneo ya Oc...michuzi-matukio.blogspot.com
Ila haya madaraja si ndio tulikubaliana hatuyataki, tunataka Maendeleo ya watu?Ujenzi ni mchakato, unaanza na wazo/changamoto, upembuzi yakinifu,ubunifu,utafutaji pesa,uingiaji mkataba,...
Najadili mambo kwa kuhoji tu, kuelimishana kwa mantiki, si kwa kuangalia majina huyu kuhani gani, huyu mtume gani.Kwahiyo wewe ni mjuaji kuliko KOICA waliofanya feasibility study na ku-approve the project?
Haujawahi kusimamia Ujenzi mkuu alafu unajifanya unajua. Alafu process Ni mchakato na stage Ni hatua. Hakuna ujenzi unaoanzia hewani. Au labda una fani ya uhandisi ambao hukuta mradi kipindi Cha Ujenzi (hatua ya tano)kuna kitu kinaitwa preliminary stages huwa haziwi counted kwenye ujenzi. Ujenzi huanza kuanzia mobilization stage! Jifunze project management kwanza kabla ya ku-expose ujuha!
Kwa maelezo yake anamaanisha bwawa la umeme la Stiegel's gorge lilianza kujengwa awamu ya tano ya Magufuli miaka ya 2015-2021 Kwa maelezo yako unaamaanisha bwawa hilo lilianza kujengwa awamu ya kwanza ya Mwalimu Nyerere miaka ile ya 1970s kipindi wanafanya upembuzi.Haujawahi kusimamia Ujenzi mkuu alafu unajifanya unajua. Alafu process Ni mchakato na stage Ni hatua. Hakuna ujenzi unaoanzia hewani. Au labda una fani ya uhandisi ambao hukuta mradi kipindi Cha Ujenzi (hatua ya tano)
Kuna hatua sita katika mchakato wa Ujenzi.
1.Wazo-
Huu ndio msingi wa mradi wowote. Kwa kuwa serikali ni mtoa huduma kupitia kodi mara nyingi huwa ni changamoto na mahitaji ya jamii.Hapa inahusisha upangaji bajeti,utafutaji fedha,upembuzi yakinifu,mzabuni wa Ujenzi n.k in case of Salender bridge hili lilianza kipindi Cha Jakaya Kikwete.
2. Ubunifu (Design)
Hili lilianza kipindi Cha Jakaya. Inahusisha michoro na usanifu wa mradi. Hadi kufikia 2015 tayari serikali ilitoa mchoro wa daraja la Salender.
3.Kipindi Cha mpito kuelekea Ujenzi( Preconstruction)
Hapa unaingia kuelekea kwenye Ujenzi. Zabuni imeshatangazwa na na mzabuni/mjenzi ameshapatikana. Mjenzi analeta kikosi na timu yake eneo la mradi
their ducks in a row. Hili lilifanywa Kipindi Cha John Pombe Magufuli
4. Manunuzi (Procurement)
Hapa mchakato unahusisha upatikanaji wa nguvu kazi/rasilimali watu (staff), ununuzi wa vifaa na zana za ujenzi. Hili hufanywa na mzabuni aliyepewa kazi ya Ujenzi.
Hili lilifanywa kipindi Cha JPM
5.Ujenzi ( Construction)
Hapa ndipo ulipojengea hoja. Ujenzi unahama toka kwenye makaratasi unaenda kwenye utendaji. Kuchimba,kufuma nondo,kuweka nguzo,kumwaga zege nk. Mhandisi mkuu na wahandisi wasaidizi (Sub contractors) kila mtu anawajibika kulingana na muda uliopangwa.
Hili lilianza kipindi Cha JPM. Na Sasa analo Mama Samia Suluhu.
6. Baada ya Ujenzi (Post construction)
Huu Ni mchakato wa mwisho. Ukaguzi lazima ufanywe kupitia check list ya Ujenzi na msanifu majengo na baadae atathibitisha kukamilisha kwa mradi. Serikali itakabidhiwa mradi. Hili Kama Kuna uhai basi Mama Samia Suluhu anaweza kukamilisha.
physical construction inahesabika kuanzia stage 4! Fala wewe umeandika Preconstruction ila hujui maana yake!Haujawahi kusimamia Ujenzi mkuu alafu unajifanya unajua. Alafu process Ni mchakato na stage Ni hatua. Hakuna ujenzi unaoanzia hewani. Au labda una fani ya uhandisi ambao hukuta mradi kipindi Cha Ujenzi (hatua ya tano)
Kuna hatua sita katika mchakato wa Ujenzi.
1.Wazo-
Huu ndio msingi wa mradi wowote. Kwa kuwa serikali ni mtoa huduma kupitia kodi mara nyingi huwa ni changamoto na mahitaji ya jamii.Hapa inahusisha upangaji bajeti,utafutaji fedha,upembuzi yakinifu,mzabuni wa Ujenzi n.k in case of Salender bridge hili lilianza kipindi Cha Jakaya Kikwete.
2. Ubunifu (Design)
Hili lilianza kipindi Cha Jakaya. Inahusisha michoro na usanifu wa mradi. Hadi kufikia 2015 tayari serikali ilitoa mchoro wa daraja la Salender.
3.Kipindi Cha mpito kuelekea Ujenzi( Preconstruction)
Hapa unaingia kuelekea kwenye Ujenzi. Zabuni imeshatangazwa na na mzabuni/mjenzi ameshapatikana. Mjenzi analeta kikosi na timu yake eneo la mradi
their ducks in a row. Hili lilifanywa Kipindi Cha John Pombe Magufuli
4. Manunuzi (Procurement)
Hapa mchakato unahusisha upatikanaji wa nguvu kazi/rasilimali watu (staff), ununuzi wa vifaa na zana za ujenzi. Hili hufanywa na mzabuni aliyepewa kazi ya Ujenzi.
Hili lilifanywa kipindi Cha JPM
5.Ujenzi ( Construction)
Hapa ndipo ulipojengea hoja. Ujenzi unahama toka kwenye makaratasi unaenda kwenye utendaji. Kuchimba,kufuma nondo,kuweka nguzo,kumwaga zege nk. Mhandisi mkuu na wahandisi wasaidizi (Sub contractors) kila mtu anawajibika kulingana na muda uliopangwa.
Hili lilianza kipindi Cha JPM. Na Sasa analo Mama Samia Suluhu.
6. Baada ya Ujenzi (Post construction)
Huu Ni mchakato wa mwisho. Ukaguzi lazima ufanywe kupitia check list ya Ujenzi na msanifu majengo na baadae atathibitisha kukamilisha kwa mradi. Serikali itakabidhiwa mradi. Hili Kama Kuna uhai basi Mama Samia Suluhu anaweza kukamilisha.
Bro...unatukana Sana, shida i-wapi? Nimesomea management,sijasomea uhandisi ( pengine wao ndipo wanaanzia)physical construction inahesabika kuanzia stage 4! Fala wewe umeandika Preconstruction ila hujui maana yake!