Andrometer
Member
- Feb 26, 2019
- 81
- 67
Nilitaka kuanzisha shooting studio, nimegairiKwanini unauza?
Umri wakoNilitaka kuanzisha shooting studio, nimegairi
Camera and other descriptions [emoji116]camera ina uwezo gani?
Yaa bongo changamoto, ila wanao weza zivuka ndio wanaotoboaBei mkasiiii.. bado kuisajili.. bado semina ya kuitumia kabla ya kuisajili … bongo nyosso
Tu stick na mada.Umri wako
Samahani nnje ya MADA
Hili swali limeulizwa na dogo...samahani ni kajamaa kadogoUmri wako
Samahani nnje ya MADA
Kama unavifahamu tufaamishi mkuuUsajiri makadirio boss pia kuna vigezo zaidi kuimiliki
Limenishangaza, lakini ndiyo hivyo tena hatufahamiani humu.Hili swali limeulizwa na dogo...samahani ni kajamaa kadogo
Mkuu samahani,Karibuni wadau, nauza drone yangu ambayo nimenunua hivi karibuni. Bado haijasjiliwa Ni mpya ina wiki tu.
Bei 900,000tu
Mawasiliano 0716440258
Tabata Segerea.
View attachment 2086590View attachment 2086591View attachment 2086592View attachment 2086593
View attachment 2086589
Asante kwa ufafanunuzi mkuu. Hii ni kama umeanza kutumia.gharama zake ni kubwa kidogo, kuisajili ni kama milion 2 na laki 7, na kuanza kuitumia ili urushe juu ushuru ni laki 8 plus ela ya mazingira laki 1 na elfu 35.