INAUZWA Drone inauzwa, Video shooting Drone

INAUZWA Drone inauzwa, Video shooting Drone

Andrometer

Member
Joined
Feb 26, 2019
Posts
81
Reaction score
67
Karibuni wadau, nauza drone yangu ambayo nimenunua hivi karibuni. Bado haijasjiliwa Ni mpya ina wiki tu.
Bei 900,000tu
Mawasiliano 0716440258
Tabata Segerea.

Screenshot_20211216-154912_Alibabacom.jpg
20220112_144530.jpg
20220112_210028.jpg
20220112_145053.jpg


20220112_152447.jpg
 
gharama zake ni kubwa kidogo, kuisajili ni kama milion 2 na laki 7, na kuanza kuitumia ili urushe juu ushuru ni laki 8 plus ela ya mazingira laki 1 na elfu 35.
Asante kwa ufafanunuzi mkuu. Hii ni kama umeanza kutumia.
Kwangu Chombo nilikinunua muda kidogo, nataka kuingia nacho home, issue za kutumia nitajua baadae. Nahitaji kujua kama Airport kuna procedurę zozote za kuhitaji vibari?
 
Back
Top Bottom