Leo, saa 5 Hvi asubuhi, Kitongoji Cha UKWAMA,kata ya Mapogoro, wilaya ya Mbarali-MBEYA saa 5 Hvi asubuhi, Kuna land cruiser ikiwa umbali wa 300m hvi from S/MSINGI UKWAMA ikarusha "DRONE" had maeneo ya karibu na Madarasa&ofc ya shule.
Tumeuliza Mtendaji wa Kijiji hadi Kata & viongozi wetu wamesema hawana taarifa kama hao ni watu gani na wana-SAVEY Nini, em tuambieni mlioko Halmashauri, lengo ni nini?!
Twapata hofu eti kwasababu wanafunzi walivyoshaut "ndegee, ndegee" wakaivuta , wakaondoka Kasi na gari lao.