KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,159
- 5,070
Vita vya kisasa vinahusisha zaidi ya technologia ya Hali ya juu, yenye lengo la kupunguza gharama na kuongeza ufanisi.
Kwenye uwanja wa Vita drones zimekua zikifanya Mambo ambayo pengine kwa Vita ya zamani kwa Sasa kutokuwa nafasi.
Vita ya zamani watu walikua wanajificha kwenye mifereji na kwenye nyasi, au comouflage blankets but kwa Sasa kufanya hivyo Ni utopolo kutokana na ukweli kwamba drones na ndege Vita zinathermal sensors ambazo zinaweza detect joto mwili hivyo kuweza kumuona mtu au kifaa popote kilipo.
Kwa Sasa mbabe wa drones Ni Uturuki anayetumia drones zinazoitwa Byraktar Tb2.
View attachment 1624279
Sekeseke la drones hizi wameshazipata Syria na Sasa Armenia.

Sasa nimeelewa kwa nini Armenia imesalimu amri kwa Azerbaijan. Zile target zote zilikuwa zinapondwa bila kukosea kwa kutumia drones. Kwa sasa zile mbinu za kale zimepitwa na wakati. Idadi ya Askari si hoja tena. Vita ya sasa ni ya kiteknolijia zaidi.