Ndege ya kivita mfano f 15 air superiority fighter jet, Hazina uwezo wa kurusha 100 rounds but helicopter Kama apache na attack aircraft Kama A 10 warhog na su 25 frogfoot Ni kawaida eg A 10 kwa dakika 1 inapiga 3900 rounds of ammunition.Ndege za kivita zirushe Makombora 100!!!! Aiseeee! Hii kali
Tuthibitishie hiyo ndo drone ya North Korea .Wenzako walituma fighter jet na helicopters we unaleta habari za THAAD?! Yani watumie kombora la $3m kutungua drone ya $10000
Drone zenyewe za Nk [emoji116]sidhani hata kama zinafika $10000View attachment 2459146
Tuthibitishie hiyo ndo drone ya North Korea .Wenzako walituma fighter jet na helicopters we unaleta habari za THAAD?! Yani watumie kombora la $3m kutungua drone ya $10000
Drone zenyewe za Nk [emoji116]sidhani hata kama zinafika $10000View attachment 2459146
Itakuwa tu watu hawachangii vile upendavyo. Na sio kweli Kwamba watu wanajadiliana kitoto.Jukwaa la siasa na mambo ya kimataifa limeharibika sana.....habari na stori zinavyoletwa ni kama watoto wadogo wanaosimuliana filamu walizozitazama......
Nendeni mkanunue Nk Kisha mzikopiTuthibitishie hiyo ndo drone ya North Korea .
Nb.
Natamani sisi hapa Kenya tungeweza kutengeneza hata za hivi
Kwenye ishu za usalama gharama sio Jambo kubwa ki hivyo ili mradi imethibitika Kwamba target flani isipoangamizwa Ni kitisho kwa usalama.Baada ya air defense kushindwa ndo wakatuma hizo jet hata hivyo Nazo zikashindwa
[emoji120][emoji120][emoji120]Shukran kwa msaada wako.Hiyo ya pili ndo Askari walikufa but ya mwanzo Hapo Dec 5 ilipiga target na kufanikiwa kuharibu ndege mbili nuclear bombers TU 95 katika eneo la kibin.
Br kitu ambacho wengi hawakijui Ni Kwamba mifumo hii S 400, s 300, hata THAAD na Patriot si maalum kwa low flying aircraft Kama drone na hata helicopter inayoendeshwa chinichini na "fundi "Nikukumbushe ulisema mimi muongo ila nilivyokukibu ukaenda mbbio.
Haya tuambie hii December 5, 2022
S-300
S-400
S-500
Pantisir & Co zilikua zimezimwa au zilikua likizo?
View attachment 2459251
Wacha nimtag OP sasa nadhan ataeleweBr kitu ambacho wengi hawakijui Ni Kwamba mifumo hii S 400, s 300, hata THAAD na Patriot si maalum kwa low flying aircraft Kama drone na hata helicopter inayoendeshwa chinichini na "fundi "
Kwa miaka ya karibuni hasa kuanzia mwaka 2020- mpaka leo majeshi ya dunia sio tu Marekani na Urusi yamegundua Kwamba Kuna haja ya kuingia maabara na kutafuta dawa dhidi ya drone .
Licha ya Russia kuwa na air defences system zinazokubalika duniani Vita ya drone dhidi ya majeshi yake ya ardhini huko Ukraine imekuwa mwiba mkali. Pia drone zinaendelea kuwa mwiba mkali kwa Marekani na hasa washirika wake watumiao US made Airdefences systems ambao Mara kadhaa wamepigika kwa drone eg Saudi Arabia na Swala la juzi anga la South Korea kuchezewa na vidrone kutoka N Korea.
Mifano Ni mingi Russia pia inapigika kila siku kwa drone,
Ukraine pia inapigika kwa drones kila siku licha ya uwepo wa airdefences. Bado dawa thabiti haijapatikana but inakuja punde tutaskia.
Mataifa makubwa hasa Marekani na Urusi Vita hii pia Ni darasa jipya juu ya weakness na strength ya kila upande Katika ishu ya silaha.
Nb.
Katika moja ya mafunzo tuyapatayo vitani Ukraine Ni haja ya kuja na mwarobaini wa low flying aircraft coz kiukweli dunia inaenda kubadilika kutoka manned aircraft to unmanned aircraft ambazo bila shaka ndo zitapigana future wars.
Natabiri.
Boss wangu unaaminije hizo za juzi ndo Kama hiyo.Nendeni mkanunue Nk Kisha mzikopiView attachment 2460860
SK wamekiri hiyo incedence na ni kweli walishindwa kuziintercept. Kwa drone hizo za blue zilizopostiwa humu sidhani kama ndio hizoBoss wangu unaaminije hizo za juzi ndo Kama hiyo.
Jaribu kuwa neutral unapoleta habari.Hujawahi kuwasikia wanaoshabikia Marekani/NATO (almaarufu kama mashabiki wa ushoga) ambavyo huwa wanaishobokea marekani? Au na wewe ni mmojawapo? Marekani imejiweka kama mbabe wa dunia lakini inapigwa za uso kila uchwao!! Nikukumbushe tu Marekani ilivurumishwa huko Afghanistan na Taleban ikakimbia na kuacha silaha zake nyuma!! Hilo timu Marekani hujifanya kama hailifahamu!!
Poa brSK wamekiri hiyo incedence na ni kweli walishindwa kuziintercept. Kwa drone hizo za blue zilizopostiwa humu sidhani kama ndio hizo
Unatakaje?Yaani hizi fix za kjinga hivi humu sijui kwanini zinaruhusiwa kuwepo!
Hio drone unayosema ni cheap, inaweza kwenda kupiga ardhini na kusababisha damage kubwa sana itakayogharimu maisha ya watu na vifaa vya thamani kuliko hata hilo kombora la THAAD.Wenzako walituma fighter jet na helicopters we unaleta habari za THAAD?! Yani watumie kombora la $3m kutungua drone ya $10000
Drone zenyewe za Nk [emoji116]sidhani hata kama zinafika $10000View attachment 2459146
Ukikosa majibu yenye mshiko masaa yote ukimbilia kunisema sema kwamba sijui naandika nsha,insha!! Wewe ni mfano hai wa the pot calling the kettle black - kwako mantiki inamaanisha nini??Hamna chochote, tatizo unapenda kuandika insha refu lisilo na mantiki, wewe kwa akili zako unafikiria GPS pekee yake ndio inategemewa kwenye counter-UAV, kwa taarifa zako incursions za North Korea kwa kutumia drone huwa jambo la kawaida na huwa haziendi mbali, hugeuza upesi sana.
Lakini Mrusi wenu kapigwa na drone iliyosafiri 600km.....hehehe takbir
Ukikosa majibu yenye mshiko masaa yote ukimbilia kunisema sema kwamba sijui naandika nsha,insha!! Wewe ni mfano hai wa the pot calling the kettle black - kwako mantiki inamaanisha nini??
Kwa maneno mengine husomi ya kwako ambayo muda wote ukimbilia kuzitafasiri kwenye kiswahili na kuongeza chumvi mno ukilinganisha na original articles, halafu ulivyo wa ajabu una-tinker around na tafasiri ya kiswahili unaongezea ya kwako kujarobu kuwachota watu akili unafikiri watanzania hawana akili za kuchabua baina ya mchele na pumba - as I said, mara nyingi huna la maana la kujibu zaidi ya ku-copy MSM na kuzikuza out of proportion na kuongezea maneno ya kukashifu DINI ya kiislaaam - siku moja mtanzania mwenzetu mwenye kuelewa vizuri masala y
Kwa uelewa mdogo anaouonesha huyo mjuba haiwezekani àwe anajua kiingerezaUsipotoshe!! Drone haikupiga Russia, bali DRONE ILIPIGWA na kudondoshwa na AIR DEFENSE za Urusi, yale masalia yake/debris yakiwa yanawaka moto ndo yakawaagulia askari 3 waliokuwa kwenye ulinzi. Soma mwenyewe kipande cha habari toka CNN, au ingia kwenye tovuti ya mashirika mbali mbali ya habari ujisomee mwenyewe!
CNN —
Three Russian servicemen were killed Monday after a Ukrainian drone was shot down by air defenses as it approached a military airfield in Saratov Oblast, deep inside Russian territory.
Kama hauijui lugha ya Malkia tafuta mkalimani!!