Drones za Korea ya Kaskazini yalichezea anga la Korea ya kusini mbele ya Air defense system za Marekani kwa masaa 7 na kurudi salama kituoni

Drones za Korea ya Kaskazini yalichezea anga la Korea ya kusini mbele ya Air defense system za Marekani kwa masaa 7 na kurudi salama kituoni

Jukwaa la siasa na mambo ya kimataifa limeharibika sana.....habari na stori zinavyoletwa ni kama watoto wadogo wanaosimuliana filamu walizozitazama......
Itakuwa tu watu hawachangii vile upendavyo. Na sio kweli Kwamba watu wanajadiliana kitoto.
Dunia ya leo imejaa mitandao inayotema uwongo na ukweli na kwa namna hii Ni ngum kumkataza mtu kuleta habari ya uwongo iliyonakshiwa na kuitwa ukweli
 
Tuthibitishie hiyo ndo drone ya North Korea .
Nb.
Natamani sisi hapa Kenya tungeweza kutengeneza hata za hivi
Nendeni mkanunue Nk Kisha mzikopi
IMG_20221228_121644.jpg
 
Hiyo ya pili ndo Askari walikufa but ya mwanzo Hapo Dec 5 ilipiga target na kufanikiwa kuharibu ndege mbili nuclear bombers TU 95 katika eneo la kibin.
[emoji120][emoji120][emoji120]Shukran kwa msaada wako.

Ndio mana jana niliwaambia hawa jamaa kuwa kupambana na drones si kazi ndogo kwa nchi yoyote
 
Nikukumbushe ulisema mimi muongo ila nilivyokukibu ukaenda mbbio.

Haya tuambie hii December 5, 2022

S-300
S-400
S-500
Pantisir & Co zilikua zimezimwa au zilikua likizo?
View attachment 2459251
Br kitu ambacho wengi hawakijui Ni Kwamba mifumo hii S 400, s 300, hata THAAD na Patriot si maalum kwa low flying aircraft Kama drone na hata helicopter inayoendeshwa chinichini na "fundi "
Kwa miaka ya karibuni hasa kuanzia mwaka 2020- mpaka leo majeshi ya dunia sio tu Marekani na Urusi yamegundua Kwamba Kuna haja ya kuingia maabara na kutafuta dawa dhidi ya drone .
Licha ya Russia kuwa na air defences system zinazokubalika duniani Vita ya drone dhidi ya majeshi yake ya ardhini huko Ukraine imekuwa mwiba mkali. Pia drone zinaendelea kuwa mwiba mkali kwa Marekani na hasa washirika wake watumiao US made Airdefences systems ambao Mara kadhaa wamepigika kwa drone eg Saudi Arabia na Swala la juzi anga la South Korea kuchezewa na vidrone kutoka N Korea.
Mifano Ni mingi Russia pia inapigika kila siku kwa drone,
Ukraine pia inapigika kwa drones kila siku licha ya uwepo wa airdefences. Bado dawa thabiti haijapatikana but inakuja punde tutaskia.
Mataifa makubwa hasa Marekani na Urusi Vita hii pia Ni darasa jipya juu ya weakness na strength ya kila upande Katika ishu ya silaha.
Nb.
Katika moja ya mafunzo tuyapatayo vitani Ukraine Ni haja ya kuja na mwarobaini wa low flying aircraft coz kiukweli dunia inaenda kubadilika kutoka manned aircraft to unmanned aircraft ambazo bila shaka ndo zitapigana future wars.
Natabiri.
 
Wacha nimtag OP sasa nadhan ataelewe

mbingunikwetu
 
Hujawahi kuwasikia wanaoshabikia Marekani/NATO (almaarufu kama mashabiki wa ushoga) ambavyo huwa wanaishobokea marekani? Au na wewe ni mmojawapo? Marekani imejiweka kama mbabe wa dunia lakini inapigwa za uso kila uchwao!! Nikukumbushe tu Marekani ilivurumishwa huko Afghanistan na Taleban ikakimbia na kuacha silaha zake nyuma!! Hilo timu Marekani hujifanya kama hailifahamu!!
Jaribu kuwa neutral unapoleta habari.
Tunajua chuki yako Kwa marekani ni baada ya wewe kupigwa ban usikanyage marekani hata mkeo na familia yako Kwa ujumla wasijaribu kutia maguu USA Kwa tabia yako ya kudhulumu haki za Watu za kuishi. Pole Sana mdogo wangu wa Dar. Punguza makasiriko
 
Wenzako walituma fighter jet na helicopters we unaleta habari za THAAD?! Yani watumie kombora la $3m kutungua drone ya $10000

Drone zenyewe za Nk [emoji116]sidhani hata kama zinafika $10000View attachment 2459146
Hio drone unayosema ni cheap, inaweza kwenda kupiga ardhini na kusababisha damage kubwa sana itakayogharimu maisha ya watu na vifaa vya thamani kuliko hata hilo kombora la THAAD.

RPG rocket inayouzwa $500 inaiteremsha Apache yenye thamani mpaka $130m, usizidharau hizo drone.
Issue ni kwamba SK kafeli, hizo drones zingefanya mashambulizi ingekua hatari, unajilinda na damage ya silaha itakayosababisha, sio thamani yake mkuu.
 
Hatari sana yaani massa 7 jamaa wanatalii kwenye anga la watu.Kiduku kiboko.
 
Hamna chochote, tatizo unapenda kuandika insha refu lisilo na mantiki, wewe kwa akili zako unafikiria GPS pekee yake ndio inategemewa kwenye counter-UAV, kwa taarifa zako incursions za North Korea kwa kutumia drone huwa jambo la kawaida na huwa haziendi mbali, hugeuza upesi sana.
Lakini Mrusi wenu kapigwa na drone iliyosafiri 600km.....hehehe takbir
Ukikosa majibu yenye mshiko masaa yote ukimbilia kunisema sema kwamba sijui naandika nsha,insha!! Wewe ni mfano hai wa the pot calling the kettle black - kwako mantiki inamaanisha nini??

Kwa maneno mengine husomi ya kwako ambayo muda wote ukimbilia kuzitafasiri kwenye kiswahili na kuongeza chumvi mno ukilinganisha na original articles, halafu ulivyo wa ajabu una-tinker around na tafasiri ya kiswahili unaongezea ya kwako kujarobu kuwachota watu akili unafikiri watanzania hawana akili za kuchabua baina ya mchele na pumba - as I said, mara nyingi huna la maana la kujibu zaidi ya ku-copy MSM na kuzikuza out of proportion na kuongezea maneno ya kukashifu DINI ya kiislaaam - siku moja mtanzania mwenzetu mwenye kuelewa vizuri masuala ya saikolojia aliwahi kukushauri ujaribu kumuona daktari bingwa ili akusaidie kuondokana na chuki zako binafsi kuhusu madhehebu haya - jamaa anacho kushauri yu sahihi kabisa - lakini utammuona kama hamnazo vile.
 
Ukikosa majibu yenye mshiko masaa yote ukimbilia kunisema sema kwamba sijui naandika nsha,insha!! Wewe ni mfano hai wa the pot calling the kettle black - kwako mantiki inamaanisha nini??

Kwa maneno mengine husomi ya kwako ambayo muda wote ukimbilia kuzitafasiri kwenye kiswahili na kuongeza chumvi mno ukilinganisha na original articles, halafu ulivyo wa ajabu una-tinker around na tafasiri ya kiswahili unaongezea ya kwako kujarobu kuwachota watu akili unafikiri watanzania hawana akili za kuchabua baina ya mchele na pumba - as I said, mara nyingi huna la maana la kujibu zaidi ya ku-copy MSM na kuzikuza out of proportion na kuongezea maneno ya kukashifu DINI ya kiislaaam - siku moja mtanzania mwenzetu mwenye kuelewa vizuri masala y

Nimekushauri wacha kuchosha watu na liinsha lisilo na mantiki, ndio desturi yako kuandika maneno mengi yasiyo coherent, wewe kwa akili zako unafikiria GPS pekee yake ndio inategemewa kwenye counter-UAV
 
Usipotoshe!! Drone haikupiga Russia, bali DRONE ILIPIGWA na kudondoshwa na AIR DEFENSE za Urusi, yale masalia yake/debris yakiwa yanawaka moto ndo yakawaagulia askari 3 waliokuwa kwenye ulinzi. Soma mwenyewe kipande cha habari toka CNN, au ingia kwenye tovuti ya mashirika mbali mbali ya habari ujisomee mwenyewe!

CNN —
Three Russian servicemen were killed Monday after a Ukrainian drone was shot down by air defenses as it approached a military airfield in Saratov Oblast, deep inside Russian territory.

Kama hauijui lugha ya Malkia tafuta mkalimani!!
Kwa uelewa mdogo anaouonesha huyo mjuba haiwezekani àwe anajua kiingereza
 
Back
Top Bottom