Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
draw ya awali walichemka ,PSG vs Man U walikosea ,maana waliongoza kwenye makundi kwahiyo haiwezekani timu ziliongoza kwenye makundi zikutanishweCjajua ni sababu gani imetokea hadi kubadil na iliwezekanaje..au napo kuna mchongo?