Droo mpya ya 16 bora ya UEFA

Cjajua ni sababu gani imetokea hadi kubadil na iliwezekanaje..au napo kuna mchongo?
draw ya awali walichemka ,PSG vs Man U walikosea ,maana waliongoza kwenye makundi kwahiyo haiwezekani timu ziliongoza kwenye makundi zikutanishwe
 
Psg alikuwa wa2 na man u alikuwa wa 1
 
draw ya awali walichemka ,PSG vs Man U walikosea ,maana waliongoza kwenye makundi kwahiyo haiwezekani timu ziliongoza kwenye makundi zikutanishwe
Psg aliongoza group lipi ???

Mpira unaangalia kweli wewe
 
Mkuu tunaomba na ya awali tuone
 
draw ya awali walichemka ,PSG vs Man U walikosea ,maana waliongoza kwenye makundi kwahiyo haiwezekani timu ziliongoza kwenye makundi zikutanishwe
Aaah!bac ilikuwa mchongo ili wawakutanishe miamba miwili tena ili kurudisha ule msisimko wa zaman wa UEFA
 
wanadai kuna makosa yalifanyika kwenye draw ya kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…